Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
- Thread starter
- #41
Acha kwanza kipindi kigumu kipiteAkili ndio itakukaa vizuri ukijitegemea. Maana ukizoea kua tegemezi ni mbaya hata kwenye familia yako baadae. Maisha yana kupanda na kushuka, inaye mtegemea siku akipata changamoto itakuaje?