cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 87,545
- 140,568
Af unakuta ni shababi anaebweka ofisini kila kukicha
Af unakuta ni shababi anaebweka ofisini kila kukicha
😂😂 Mtani sijui kwa nini ila nimecheka sana lol.kwambaa mtani nawee unapendaa mzagamuo?
Mtaniiii, hadi wewee?Hapana aisee mtani.
Ndoa ya dini gani haikupotezei mda?! Kuhusisha mtu kushindwa majukumu kama mume na dini si sawa.ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia.
Alishindwa kupaka mkongo?NDIO sababu bwana harusi alikuwa anatumia vidole tu kumchokonoa maana uume hausimami.
mwanamke akikaa muda mrefu bila kupata tendo la ndoa hormone zake zinavurugika na fibroids yanamjia
mtani ctaki kuamini nawee unapenda!!!Mtani sijui kwa nini ila nimecheka sana lol.
Nakusalimia.
Duh!...Dunia lukumbalukumba....Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.
Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kupokea mbegu yoyote.
NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA
Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano
wana utaratibu wa kuyafanya hayo.....na watoto wao walikuwa na shule maalum toka enzi ref, Shule ya Sekondari KifungiloMasista je?
Alikuwa na malengo yake mengine hovyo labda ya kupata mali, Mwanaume mkifunga ndoa miezi mi 3 tu hajawahi lala na wewd kwa nini usiende Mahakamani kuvunja ndoa? Kwa nini angoje miaka mi 5, kwa nini sio 1, 2, 3 and kwa nini sio 15, tena unaweza kuta alikuwa anajua, kamgeuka jamaa, kuna story upande wa pili wa shilingi.
Yeah!...hili linafikirisha Sana...Huo ni ulaghai tu, wameshindwana wanatumia sababu za kijinga. Ile wiki ya kwanza ilitosha kuvunja ndoa km ingelikuwa ni kweli
Hawana matatizo hayo😆😆😆Masista je?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Af kuna mpuuzi anakwambia sex sio lazima ndoa ni majukumu ,😂
What if kama tatizo lilijitokeza miez kadhaa baada ya ndoa? Unaweza Kuta pengine jamaa alikuwa anatembeza moto fresh tu kwa warembo tofauti tofauti sasa alipoamua kuchagua mmoja wa kuoa hao wengine wakaone wamwendee kwa mganga kumtia adabu.Huo ni ulaghai tu, wameshindwana wanatumia sababu za kijinga. Ile wiki ya kwanza ilitosha kuvunja ndoa km ingelikuwa ni kweli
Inaitwa consumation of marriage.... hii ndo hatua ya mwisho ya kuhalalisha ndoa, na inapaswa kufanyika usiku wa harusi, bibi/bwana harusi anahaki ya kuivunja ndoa asubuhi yake endapo tendo hili halikufanyika... Sasa swali ni je........ ...... ...... .....
Kwanini bi harusi hakuvunja ndoa Jana yake akangoja mpaka miaka mitano5?
Ni kana kwamba kuna kitu Bi Harusi alitaka...
Watu wote mnaosali tunawaambia tena, maombi hayajawahi kutibu kitu, acheni kupoteza mda.Inaonekana bibi harusi ni mlokole. Akajua mambo yatakaa sawa tu kwa maombi..
Alipoona mambo hayabadiliki ndipo akasema kwa wakwe na ndipo vilivyoanza vikao vya ndugu. Mwishoe vikao vikahamia kanisani. Ndipo wakaenda mahakamani