Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Kuna video huko instagram Magufuli akihutubia na kudai Sadam alikuwa ni Rais wa Kuwait? Wadau kwa aliyemsikia hii imekaaje?
 
MUNGU alitoa uwezo wa watu Tz vichwa vya science ambavyo wachache wamebarikiwa kama Magufuli. Mi nashangaa mnaobeza kukosea huko ila Mie niliesoma science nawashangaa kinachowashangaza hapo. Kweli Tz kumejaa vituko
 
Tunayajua ya nje kwa sababu vyombo vingi vya habar ni vyao...but trust me watu wa nje hawaijui afrika so c lazma mtu kujua mambo yote ya nje.
 
Saddam alikwisha wahi kuiteka Kuwait na ndiyo mwanzo wa kilichompelekea kushambuliwa na mataifa makubwa yote duniani mpaka kuuliwa.

Hivi mleta mada hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Wewendiye uliyesomea ujinga kwa maana hata huwezi kusoma kilichoandikwa. Mleta mada kasema magufuli alisema "sadam alikuwa rais wa kuwait" wewe unasema "sadam aliiteka kuwai" mpaka hapo wewe na mleta mada nani JINGA?
 
Saddam alikwisha wahi kuiteka Kuwait na ndiyo mwanzo wa kilichompelekea kushambuliwa na mataifa makubwa yote duniani mpaka kuuliwa.

Hivi mleta mada hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Wewendiye uliyesomea ujinga kwa maana hata huwezi kusoma kilichoandikwa. Mleta mada kasema magufuli alisema "sadam alikuwa rais wa kuwait" wewe unasema "sadam aliiteka kuwait" mpaka hapo wewe na mleta mada nani JINGA?
 

Attachments

  • IMG-20150917-WA0055.jpg
    IMG-20150917-WA0055.jpg
    70.1 KB · Views: 81
Ameteleza nini?

Labda kwa mtu kama finyu kama wewe ndiyo unaweza kumuona hivyo.

Lakini kwa msomi kama Magufuli nnamuelewa anasema nini.

Labda wewe huelewi kuwa Saddam alitangaza kuwa Kuwait ni yake na alitangaza mpaka kuibadilisha jina na kuiita Qadhima.

Kwa hiyo Magufuli kukumbusha Saddam wa Kuwait wala hajakosea. Magufuli alikuwa anaongelea kuhusu watu kukurupuka na "mabadiliko" na Saddam alikurupuka na kuibadilisha Kuwait na ndipo umaarufu wake mkubwa ulipoanzia na ndipo kulimpelekea mpaka kukosa yote.

Labda ulikuwa huelewi yote hayo, si kulaumu kwa kuwa nnajuwa ujinga upo kwenye damu yako. Au...

Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Angalia hili JINGA linalotaka kulazimisha kuambukiza wenzake ujinga.
Aibu sana ,tena uso umekushupaa kutetea uharo.

Nadhani wewe ndiyo kinara wa kuchukua ujinga mashuleni.
 
MUNGU alitoa uwezo wa watu Tz vichwa vya science ambavyo wachache wamebarikiwa kama Magufuli. Mi nashangaa mnaobeza kukosea huko ila Mie niliesoma science nawashangaa kinachowashangaza hapo. Kweli Tz kumejaa vituko
Umeandika uharisho uliochanganyika na matapishi. Ukisoma sayansi ndio inabadili rais wa tanzania anakua obama au cameroon?
 
Mmmmm Magufuli ni PhD holder tena ya Kemia. Wewe ndiye usiejielewa unayekesha kwenye mitandao ya JF na blogs ukisoma habari za umbeya za dunia. Yeye ni kazi tu.
Pumbavu kweli hujui hata unaongea nini. Un

Nenda hapo South Africa uliza mwananchi wa kawaida kama anaijua Tanzania vizuri. Kwa sababu haina impact kwake. Similarly it is not necessary for Magufuli to put list of countries' presidents why? By the way he was not owning foreign affairs portfolio.
Pumbavu kweli hujui hata unaongea nini. Sasa unamfananisha Magufuli mwenye PhD anayetaka kuwa rais wetu na raia wa kawaida wa South afrika asiyehitaji kuijua tanzania? Huoni magufuli km mtaka urais anapaswa aijue nchi yake vyema na dunia pia? Rais wa nchi ni alama ya nchi nivutambilisho wa nchi anapaswa ainekane hivyo!
 
MUNGU alitoa uwezo wa watu Tz vichwa vya science ambavyo wachache wamebarikiwa kama Magufuli. Mi nashangaa mnaobeza kukosea huko ila Mie niliesoma science nawashangaa kinachowashangaza hapo. Kweli Tz kumejaa vituko

Hebu tuambie ugwiji wa Magufuli katika science ni upi? Ni nini alichofanya kuonesha kwamba yeye ni genious wa vhemistry? Heri muhongo tunamjua huyu Magufuli ugwiji wake ni nini hasa?
 
Wewendiye uliyesomea ujinga kwa maana hata huwezi kusoma kilichoandikwa. Mleta mada kasema magufuli alisema "sadam alikuwa rais wa kuwait" wewe unasema "sadam aliiteka kuwait" mpaka hapo wewe na mleta mada nani JINGA?

Hapana, alinza kwaa kusema alikuwa Rais wa Libbya akarekebisha hapo hapo na kusema yule wa Kuwait.

Hajakosea, umaarufu wa mpaka kuondolewa kwenye madaraka Saddam ulianzia alipoiteka Kuwait na kuibadilisha kuiita Qadhima.

Nnadhani wakati huo ulikuwa hujazaliwa bado au ulikuwa bado unajiharia.
 
👏👏👏👏👏lowassa oyeeee✌✌✌✌✌✌✌
 
Back
Top Bottom