Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Eti Magufuli aliteleza kusema watu wa Libya walimuua Saddam
Aliteleza kusema Saddam ni wakuwait

Aliteleza kusema Watu wa Kigamboni kama hawana nauli ya ferry wapige mbizi

Aliteleza kuwambia watu wa Buziku watumie kinyesi chao kutengemeza Lami

Aliteleza kuuza nyumba za serikali 

Ni kweli kabisa huwa anateleza,kama alivyoteleza kugombea urais

Angalia usiteleze kumpa kura yako

Kweli MKUU tutawapa....
 
Magufuri ni mtu wa kukariri,sio kuelewa, mtu anaekariri muda flani husahau, hata sasa ukimshtukiza barabwra ya bagamoyo mwenge atakwambia ina kilomita 1000.

Mawaziri wa kikwete ni mzigo,vihiyo. Mulugo alisema Tanzania inatokana na zimbabwe na zanzibar. Pia akasema mbeya ina ukubwa wa kilomita 29 za mraba.

Saddam alikua rais wa kuwait?
Haa haaa haa vunja mbavu zang
 
Leo ndo nimeona clip nlijua watu wanamsingizia DAH . Ccm kazi wanayo

..mimi hiyo confusion ya Saddam na Gaddafi nadhani siyo dili sana.

..kinachonitatiza zaidi ni kwamba Magufuli ameamua kusema UONGO waziwazi.

..Magufuli anayo rekodi ya kusimamia ujenzi wa barabara nchi nzima. sijui kwanini hazungumzii hayo anaamua kuwalaghai wananchi.

..lakini kama hiyo haitoshi kaja na mpya kwamba M4C maana yake ni Magufuli for Change. Labda kampeni za namna hiyo zinalipa, lakini mimi naona kama ni utoto fulani hivi.

..kuna kitu hakiko sawa ktk hizi kampeni za ccm. this time naona kama hawako disciplined kama miaka ya nyuma.

cc Nguruvi3, Pasco, ZeMarcopolo, Mag3, The Boss
 
Last edited by a moderator:

CCM walivyokamatika watafanya kila namna hata kucopy strategies za maadui.
Inavyoonekana Magufuli amekubali matokeo kwa kuwa hakujiandaa kuwa rais.
Ila kitengo hakiamini kinachoendelea.
 
Mkuu Siyo Wote Humu Ni Watanzania Kama Mimi Mnyarwanda Kabila La Kitutsi Hivyo Siyo Wazuri Wa Kiswahili. Samahani Naomba Kujua " Kitengo " Ndiyo Nini? Nitashukuru Ukinielimisha Na Mimi Niweze Kukijua KITENGO.
 
Mara mia aliyeteleza hayo kuliko aliyeteleza akapiga mabilioni ya hela za wananchi kwa kampuni feki.
 
..mimi hiyo confusion ya Saddam na Gaddafi nadhani siyo dili sana.

..kinachonitatiza zaidi ni kwamba Magufuli ameamua kusema UONGO waziwazi.

..Magufuli anayo rekodi ya kusimamia ujenzi wa barabara nchi nzima. sijui kwanini hazungumzii hayo anaamua kuwalaghai wananchi.

..lakini kama hiyo haitoshi kaja na mpya kwamba M4C maana yake ni Magufuli for Change. Labda kampeni za namna hiyo zinalipa, lakini mimi naona kama ni utoto fulani hivi.

..kuna kitu hakiko sawa ktk hizi kampeni za ccm. this time naona kama hawako disciplined kama miaka ya nyuma.

cc Nguruvi3, Pasco, ZeMarcopolo, Mag3, The Boss
Mkuu nadhani mtu anayekuwa Rais kuna vitu lazima viwe katika finger tips. Hili la Kuwaiti na Ghadaffi linatisha sana

Huyu Magufuli anajua vitoga wangapi wameangaliwa bwawa la Mindu. Anajua barabara gani daraja limevunjika na nondo ngapi zimevunjika. Kutokjua tofauti kati ya Libya, Iraq na Kuwaiti ni jambo linalotisha. Si lazima liwe kosa kubwa, inatosha kusema inatisha kidogo

Kuhusu kampeni, CCM unaowaona wapo ICU lakini usifanye kosa! Kampeni zipo katika karatasi na BVR
Nape kasema GOLI LA MKONO, juzi Makamba kaja na takwimu walizofanya wao wenyewe. Ukiangalia hayo ni maandalizi, Maradona lazima afanye mavituzi yake

Kinachotisha zaidi, eti tume ya uchaguzi imeruhusu matokeo ya Rais kutangazwa vituoni!
Hapa ninabaki na maswali, tume hii tunayoijua inaweza kufanya hivyo bila 'uhakika' fulani kweli!
 
..mimi hiyo confusion ya Saddam na Gaddafi nadhani siyo dili sana.

..kinachonitatiza zaidi ni kwamba Magufuli ameamua kusema UONGO waziwazi.

..Magufuli anayo rekodi ya kusimamia ujenzi wa barabara nchi nzima. sijui kwanini hazungumzii hayo anaamua kuwalaghai wananchi.

..lakini kama hiyo haitoshi kaja na mpya kwamba M4C maana yake ni Magufuli for Change. Labda kampeni za namna hiyo zinalipa, lakini mimi naona kama ni utoto fulani hivi.

..kuna kitu hakiko sawa ktk hizi kampeni za ccm. this time naona kama hawako disciplined kama miaka ya nyuma.

cc Nguruvi3, Pasco, ZeMarcopolo, Mag3, The Boss

Ajabu sana kwamba Magufuli alikuwa na displine wakati anachukua fomu CCM
na now baada ya kuteuliwa CCM..amekuwa mtu wa kuropokaropoka

kama ni kweli kamtimua Mwigulu kwenye kampeni basi wana crisis
 
Mimi naamini kwa dhati kabisa kwamba Magufuli is not presidential material ingawa ni kweli he is probably the only ace up CCM's sleeve, hawakuwa na mwingine. Tukumbuke kwamba baada ya miaka zaidi ya hamsini, CCM walihitaji kuonesha mafanikio yao katika muda huo badala ya kuahidi kufanya hili na lile wakipewa madaraka kwa mara nyingine. Inasikitisha sana kwamba CCM wamejikita katika kueleza mapungufu ya upinzani ambao hawajawahi kukamata madaraka ya nchi hii hata kwa wiki moja badala ya kunadi sera zao. Magufuli pamoja na mapungufu yake lukuki ndiye pekee anaweza akasimama na kusema alisimamia ujenzi wa barabara hata kama barabara zenyewe ndizo hizo lakini zipo. Bahati mbaya rekodi ya mapungufu yake outweighs kwa mbali mafanikio na hivyo net result kuwa hasi.
 
CCM walivyokamatika watafanya kila namna hata kucopy strategies za maadui.
Inavyoonekana Magufuli amekubali matokeo kwa kuwa hakujiandaa kuwa rais.
Ila kitengo hakiamini kinachoendelea.

CCM hawakutegemea kukutana na ushindani waliokutana nao kwenye Kampeni nadhani jamaa wa UKAWA waliwategea kuwaaminisha LOWASA ni FISADI kwahiyo CCM wakaingia chaka chaajabu waliokuwa wanamtangaza vibaya amekuwa mwiba mkaki kwa CCM nadhani uchaguzi wa mwaka huu....hawatausahau
 
Hahahha sasa mie naomba ni bora,usiseme hilo mwenzake ana makubwa zaidi,kama ndo huko,kuteleza yeye nafuu,mwenzake msahaulifu,hapa kazi tu
 
Ajabu sana kwamba Magufuli alikuwa na displine wakati anachukua fomu CCM
na now baada ya kuteuliwa CCM..amekuwa mtu wa kuropokaropoka

kama ni kweli kamtimua Mwigulu kwenye kampeni basi wana crisis

Mkuu kila binadamu anabreak point yake , mtu akishafikia threshold yake basi akili ya kawaida huruka.

Wapo vibaya ,na zaidi hata goli la mkono linaonekana kusuasua hivyo ni lazima kuvurugikiwa.
 
Tulikuwa tunapigwa Changa la macho Takwimu za Samaki,Maya ya samaki na kilometers za Barabara!!
Rais Wa Kuwait alikuwa Saddam Hussein !Hii Kali!
 
Huyu Magufuli ni stress au kama anataka uraisi mambo ya nje tu hata ya Libya na Iraq yana mchanganya ndo kuongoza nchi kweli?
 
Back
Top Bottom