Muoneeni huruma basi
mtu azaliwe chato huko aje kujua tofauti ya Kuwait na Iraq?...
mostly ni nchi anazosoma tu kwenye news..
Mmmmm Magufuli ni PhD holder tena ya Kemia. Wewe ndiye usiejielewa unayekesha kwenye mitandao ya JF na blogs ukisoma habari za umbeya za dunia. Yeye ni kazi tu.
Nenda hapo South Africa uliza mwananchi wa kawaida kama anaijua Tanzania vizuri. Kwa sababu haina impact kwake. Similarly it is not necessary for Magufuli to put list of countries' presidents why? By the way he was not owning foreign affairs portfolio.
Nimenukuu ukurasa wa 22 wa Gazeti la mwananchi la leo 16/09/2015
para ya Kwanza; naomba ninukuu" Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. walimwondoa madarakani rais Saddam , hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait"
"Magufuli , na Lowassa nani atatufaa kwa Siasa za nje" ni kichwa cha habari cha article yenyewe.
Magufuli huyu anayejua kila barabara ya nchi hii ameshindwa kujua vitu vya darasa la nne vinavyotokea nje ya mipaka ya Tanzania sembuse siasa za kimataifa atazijulia wapi. Kuna uwezekano akashindwa kujua hata majina ya nchi tulizopakana nazo, au kushindwa kujua Marekani, india Uk nk zipo mabara gani. Kama ni hivyo je atajuaje trouble makers na marafiki wa kweli anaoweza kushirikiana nao katika siasa za dunia. Au ushindi kwanza mengine yatajipa?. Ukiona rais hajui kinachoendelea upande mwingine wa dunia ujue kazi tunayo hivyo tusifanye makosa katika uchaguzi wa mwaka huu la sivyo watanzania woote tutaonekana mambumbumbu.
Sasa kama hajui si angenyamaza kwa nini adanyanye umaa. Hii ndo point alifikiria anaongea na kilaza kama wewe ukawa tupo makiniMmmmm Magufuli ni PhD holder tena ya Kemia. Wewe ndiye usiejielewa unayekesha kwenye mitandao ya JF na blogs ukisoma habari za umbeya za dunia. Yeye ni kazi tu.
Nenda hapo South Africa uliza mwananchi wa kawaida kama anaijua Tanzania vizuri. Kwa sababu haina impact kwake. Similarly it is not necessary for Magufuli to put list of countries' presidents why? By the way he was not owning foreign affairs portfolio.
Muoneeni huruma basi
mtu azaliwe chato huko aje kujua tofauti ya Kuwait na Iraq?...
mostly ni nchi anazosoma tu kwenye news..
Magufuli ni Kihiyo wa mambo mengi sana.
Sasa msomi Wa PhD mbona hana ela
Nimenukuu ukurasa wa 22 wa Gazeti la mwananchi la leo 16/09/2015
para ya Kwanza; naomba ninukuu" Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. walimwondoa madarakani rais Saddam , hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait"
"Magufuli , na Lowassa nani atatufaa kwa Siasa za nje" ni kichwa cha habari cha article yenyewe.
Magufuli huyu anayejua kila barabara ya nchi hii ameshindwa kujua vitu vya darasa la nne vinavyotokea nje ya mipaka ya Tanzania sembuse siasa za kimataifa atazijulia wapi. Kuna uwezekano akashindwa kujua hata majina ya nchi tulizopakana nazo, au kushindwa kujua Marekani, india Uk nk zipo mabara gani. Kama ni hivyo je atajuaje trouble makers na marafiki wa kweli anaoweza kushirikiana nao katika siasa za dunia. Au ushindi kwanza mengine yatajipa?. Ukiona rais hajui kinachoendelea upande mwingine wa dunia ujue kazi tunayo hivyo tusifanye makosa katika uchaguzi wa mwaka huu la sivyo watanzania woote tutaonekana mambumbumbu.
Nilikuwa ndani ya daladala natoka Makumbusho naelekea home, niliposoma hii habari nikasikitika sana, lakini nikashindwa kujizuia, nikajikuta nacheka kwa sauti kubwa watu wote wakanishangaa wakadhani labda nimepandwa na mashetani... Gafla ndani ya daladala kimya kikatawala, watu wote macho kwangu. Nilipofika Mwenge ikanibidi nikushe nipande daladala nyingine!
Rais wetu Magufuli ametuangusha sana, lakini nadhani alitereza kidogo kwa uchovu wa kampeni!
Na Hata Lowassa Hizo Nchi Nyingi Za Ulaya Anazijua Kwakuwa Kila Kukicha Anakimbilia KUTIBIWA Magonjwa Yake 17 Yanayomkabili.
Nimenukuu ukurasa wa 22 wa Gazeti la mwananchi la leo 16/09/2015
para ya Kwanza; naomba ninukuu" Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. walimwondoa madarakani rais Saddam , hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait"
"Magufuli , na Lowassa nani atatufaa kwa Siasa za nje" ni kichwa cha habari cha article yenyewe.
Magufuli huyu anayejua kila barabara ya nchi hii ameshindwa kujua vitu vya darasa la nne vinavyotokea nje ya mipaka ya Tanzania sembuse siasa za kimataifa atazijulia wapi. Kuna uwezekano akashindwa kujua hata majina ya nchi tulizopakana nazo, au kushindwa kujua Marekani, india Uk nk zipo mabara gani. Kama ni hivyo je atajuaje trouble makers na marafiki wa kweli anaoweza kushirikiana nao katika siasa za dunia. Au ushindi kwanza mengine yatajipa?. Ukiona rais hajui kinachoendelea upande mwingine wa dunia ujue kazi tunayo hivyo tusifanye makosa katika uchaguzi wa mwaka huu la sivyo watanzania woote tutaonekana mambumbumbu.
Kaka video clip ninayo hapa. Nitumie namba nikutumie. Magufuli ni zero kwenye general knowledge!Aliyekosea magufuli au mchapishaji wa garazeti ingekuwa sauti kweli kumbe maandishia au magufuli kawa mwandishi?
kaka ishu ya Libya na Iraq gadaf na sadam ni mambo yalizungumzwa sana duniani hata watoto wa primary ukiwauliza wanajua.Tunayajua ya nje kwa sababu vyombo vingi vya habar ni vyao...but trust me watu wa nje hawaijui afrika so c lazma mtu kujua mambo yote ya nje.