Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Barabara zenyewe usikute takwimu za uongo! Kwani nikisema barabara ya kutoka nzega hadi mwanza ni kilomita laki nne elfu ishirini na tatu mia mbili sabini na tatu nani atabisha! Provided watu wenyewe sio wafuatiliaji

hahahahahaha...kuna ukweli
 
Nimenukuu ukurasa wa 22 wa Gazeti la mwananchi la leo 16/09/2015
para ya Kwanza; naomba ninukuu" Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. walimwondoa madarakani rais Saddam , hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait"

"Magufuli , na Lowassa nani atatufaa kwa Siasa za nje" ni kichwa cha habari cha article yenyewe.

Magufuli huyu anayejua kila barabara ya nchi hii ameshindwa kujua vitu vya darasa la nne vinavyotokea nje ya mipaka ya Tanzania sembuse siasa za kimataifa atazijulia wapi. Kuna uwezekano akashindwa kujua hata majina ya nchi tulizopakana nazo, au kushindwa kujua Marekani, india Uk nk zipo mabara gani. Kama ni hivyo je atajuaje trouble makers na marafiki wa kweli anaoweza kushirikiana nao katika siasa za dunia. Au ushindi kwanza mengine yatajipa?. Ukiona rais hajui kinachoendelea upande mwingine wa dunia ujue kazi tunayo hivyo tusifanye makosa katika uchaguzi wa mwaka huu la sivyo watanzania woote tutaonekana mambumbumbu.
Yaan huyo baba hajielewi kabisa...
 
Magufuri ni mtu wa kukariri,sio kuelewa, mtu anaekariri muda flani husahau, hata sasa ukimshtukiza barabwra ya bagamoyo mwenge atakwambia ina kilomita 1000.

Mawaziri wa kikwete ni mzigo,vihiyo. Mulugo alisema Tanzania inatokana na zimbabwe na zanzibar. Pia akasema mbeya ina ukubwa wa kilomita 29 za mraba.

Saddam alikua rais wa kuwait?


Yule mwingine kakazana kuhuburi 'migodi mikubwa mikubwa... mikubwa mikubwa!

Siasa jamani!
 
Si ajabu Magufuli pia hajui yeye anaish nchi gani!!!!!!

Hata Geography hajui leo hii tumchague awe Rais wa Tanzania!!!!!

Anatia aibu sana huyu baba, yeye amekariri idadi ya samaki baharini na wana mayai mangapi ndiyo anajua.

Maana kwa kuwa amezoea uongo kwa kutudanganya idadi ya samaki na mayai yao, leo anataka kutudanganya Rais Saddam wa kuwait!!!!

Anafikiri na sisi hatujui.... aishie uongo wa samaki na mayai sijui ameingiaje ndani ya bahari na kuwahesabu na pia ameingiaje tumboni mwa samaki kuhesabu mayai.

Ashindweeeeee aende kwao akalime mihogo, heri angegombea ubunge kuliko moto huu aliouwasha unamkaanga mwenyewe.

View attachment 287499

View attachment 287500

View attachment 287502

Mbuzi.jpg Ajabu hata mbuzi nao hawamtaki!!!!! Nawashangaa UVCCM wanavyoweweseka

View attachment 287504​
 
Magufuli is too local. Amekariri salamu za makabira ya Tanzania tu. Sijui akienda UN ataongea kijaluo na kisukuma? Huu ni mzigo kuliko hata Mulugo
 
Back
Top Bottom