Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!


Analyse

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
4,645
Likes
2,758
Points
280
Analyse

Analyse

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
4,645 2,758 280
Magufuli ameshakuwa kama comedian siku hizi.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,372
Likes
29,289
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,372 29,289 280
Haàhaaaaa sio chuki ya uislamu tena maana ww ni iislamu na ccm tu kichwani mwako.pole so unataka kutuaminisha kuwa alichosema magufuli ni sahihi wala hakukosea? Duuh kweli kichwa kimeishiwa ubongo.
Sina haja ya kukuaminisha, nnakupa darsa. Nnauhakika hata ulikuwa hujui kuwa Saddam alishaiteka Kuwait na kuibadilisha jina akaiita "kadhima" na kuitawala.
 
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
3,605
Likes
1,239
Points
280
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
3,605 1,239 280
Moja kati ya maswali muhimu ambayo wagombea wa Urais duniani kote wamekuwa wakiulizwa ni kuhusu; sera za kimataifa "foreign policy".

Rais anabidi ajue mambo ya nje na ndani ya nchi yake ili aweze kujua athari nchi yake inaweza kukumbana nazo kutokana na sera hizo za kimataifa.

Kwa JPM ameonesha kwamba,

1.Hamjui Saddam. Hili lipo wazi.
2.Haijui nchi ya Kuwait.
3.Haijui Iraq
4.Haijui vita ya Iraq vs USA

Hii ni hatari sana kwa dunia ya leo.
Inaonyesha hata TV hana kwake, na kama anayo ni pambo tu, vita vya Iraq miaka nenda rudi hadi leo hii hajui sadam wapi anatoka? Poor him
 
mcfm40

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
4,308
Likes
1,981
Points
280
mcfm40

mcfm40

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
4,308 1,981 280
Mtu huyu anatka kuwa rais wa nchi huku hafuatilii yanyoendelea duniani!
 
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
1,639
Likes
2,607
Points
280
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
1,639 2,607 280
Rais alichoka sana hapa kwenye kampeni.
 
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
1,639
Likes
2,607
Points
280
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
1,639 2,607 280
Alichoka eeeh! kwa ajili ya pushups au yale mapanga shaa
Hahaha vyote mkuu. Shughuli ya kampeni si mchezo. Si unakumbuka ile kadhia iliyomkumba mzee wetu kule Chato!?
 
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
13,345
Likes
5,131
Points
280
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
13,345 5,131 280
para ya Kwanza; naomba ninukuu" Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. walimwondoa madarakani rais Saddam , hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait"
Unajua kwenye kampaine inatakiwa mbinu mbali mbali kujitangaza. Ili uweze kujitangaza kirahisi kwenye media basi wewe andaa habari. Uzuri kwenye media kile wanaita habari ni sawa na kusema "...sungura kamtimua mbio mbwa tena mbwa aina ya germany shepherd..."! Hii ndiyo itachukua kurasa zote za magazeti na taarifa za prime time! Ndiyo udhaifu wa media. Dr. Magufuli aligundua udhaifu huo. Akautumia barabara...! Watu wa media wakamtangaza sawasawa...akapata kura za kutosha. Sasa ndiye rais wetu.

Ongeza lingine. Majibu unayapata hapa hapa.
 

Forum statistics

Threads 1,250,523
Members 481,401
Posts 29,736,388