Wameanza kutafuta sababu za kitoto.
Mgombea wao kila siku anadhoofu kiafya na kifikra.
Maji waliyavulia nguo hawana budi kuyaoga.
Ha haha kwahiyo bado ni Mshamba au?
Ila lowasa kachoka jamani. Nilikuepo zanzibar eti anahutubia anasema wazanzibari mnapenda dansi. Basi nikishinda uraisi nitakuja kudansi.
Dah mpaka namwonea huruma. Parkinsons disease ni ugonjwa mbaya sana. Yaani jamaa amekua kama wale naniliii wa gwajima.
Bora ukiwa wangemteua wema sepetu kidogo angetusumbua CCM
Magufuli hajielewi yeye anakariri kilometer tuu
Ila lowasa kachoka jamani. Nilikuepo zanzibar eti anahutubia anasema wazanzibari mnapenda dansi. Basi nikishinda uraisi nitakuja kudansi.
Dah mpaka namwonea huruma. Parkinsons disease ni ugonjwa mbaya sana. Yaani jamaa amekua kama wale naniliii wa gwajima.
Bora ukiwa wangemteua wema sepetu kidogo angetusumbua CCM
kweli nyani haoni......? hebu tuanzie kwenye cv ya mbowe. siasa bwana mtu ambaye ukizungumzia elimu yake unaongelea kasoma mpaka darasa la..... eti anamnanga phd holder wa sayansi ya kemia. kweli na chooka saanaa!
Naomba kujua kati ya mbowe na makufuli nani kachimba sana darasani
Bora hata Magufuli,Lowasa je hata madini yaliyomo nchini kwake hayajui,anabaki tu kusema madini madogo madogo ,madini makubwa makubwa
Mwisho atakuja kuweka dawa nyeupe nywele zake
Sasa msomi Wa PhD mbona hana ela
Kusoma="ela".
Kaazi kweli kweli!
Kweli kipaumbele cha 1,2&3 inabidi viwe elimu! Hapa tulipofika!