Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Mjinga kabisa ww kwa hyo kutokuujua vyema ulimwengu ni sifa.ndio maana mnashabikia CCM hata mkipigwa makofi.
 
Mbowe anajua nini. Halafu si lazima kukariri majina ya marais wa dunia. Nenda nchi nyingi zilizoendelea uone kama wanawafahamu hata mawaziri wao. Bwana Mbowe hiyo si hoja. Njooni na mtu wenu kwenye mdahalo muone kama ataweza kuongea chochote. Hawezi ndo mana mnatapatapa nakutaka eti wenyeviti ndo washiriki. Kwani hao ni wagombea? Acha hizo.

sasa kama hujui kuna maana gani ku publish kitu usichokijua
 
We ni mji.nga namba moja katika dunia hii....

Mbona hujaonesha huo ujinga? huo urais Col. gadaff aliupata wapi na lini? kama umeshindwa kutofautisha kati ya leader na president basi mjinga atakuwa ameshajulikana.

Cheo cha urais kinaenda sambamba na utawala wa demokrasia, je utawala wa Col. gaddaf ulikuwa wa kidemokrasia?

Unaingia youtube kuleta maandishi uliyoona yamemtaja Col. Gaddaf kama rais ndio umefikia hitimisho hilo kuwa ni rais wakati aliyeandika ana akili kama zako.

Hao walimuandika kama rais wa Libya ndio hao niliosema hapo awali kuwa ni watu wa magharibi ambao Col. Gaddaff aliwajibu kama nilivyokwishaeleza.
 
Ndugu Mingoi
Kwa Hiyo unataka kukuambia wananchi wa Libya wanamaisha mazuri kuliko wakati wa Gaddafi?
Fikiri kwanza Fanya utafiti kabla ya kunena
 
aondoe uendawazmu hapa, yeye alivyogombea mwaka 2005 akiwa na dv 0 ya fm vi alitaka amuongoze nani? kukosea ktk matamshi hl ni jambo la kawaida ,HAPA KAZI TU!
 
Mbowe boya tuu so kimjua gadafi ni sifa

Ndo maana nikasema watanzania ni mavi ya funza na mbwa,wewe ulivyo mse..nge unadhani unaweza kuwa na rais asiyejua mambo ya kimataifa? unajua umuhimu wa rais na sifa ambazo anatakiwa kuwa nazo? mshenz wa tabia,lijinga kabisa haramu mkubwa wewe.
 
Mbowe anajua nini. Halafu si lazima kukariri majina ya marais wa dunia. Nenda nchi nyingi zilizoendelea uone kama wanawafahamu hata mawaziri wao. Bwana Mbowe hiyo si hoja. Njooni na mtu wenu kwenye mdahalo muone kama ataweza kuongea chochote. Hawezi ndo mana mnatapatapa nakutaka eti wenyeviti ndo washiriki. Kwani hao ni wagombea? Acha hizo.

Wewe ni mavi ya kuku kabisa
 
Mmmh,kampeni hizi ni kwa ajili ya uchaguzi wa Tanzania hayo ya Libya,Kuwait kwa sasa si kipaumbele chetu,msitubadilishie mada
 
Jk mpaka amemaliza mdawake WA urais mini aliweza kusimama kwenye mdahalo .ebu acheni mdahalo siyo lazima .pia maneno meeengi siohoja.
 
Wewe ndo umenimaliza kabisaa! Hahaha unamuona makufuri anavyopanda jukwaa kwa kukimbia eti anatulingishia hahaha pole yke na kidevu chake alimchelemaa!

JF ni kisima cha burudani
 
kweli nyani haoni......? hebu tuanzie kwenye cv ya mbowe. siasa bwana mtu ambaye ukizungumzia elimu yake unaongelea kasoma mpaka darasa la..... eti anamnanga phd holder wa sayansi ya kemia. kweli na chooka saanaa!
 
mbishane wee eee halafu mtashangaa kama Picha zenu wanavijiji wanaotumia simu ya tochi ili kusave charge wanawasoma... Mimi nasubiri tar 25 ila asilalamike MTU.... maana nimeanza kusikia watu wanalalama huko wakati walimpata chizii... hehehe... jamani dalili mojawapo ya kuchanganyikiwa ni kulalama.. hehehehehehe... kimedical zaidi
 
Wameanza kutafuta sababu za kitoto.

Mgombea wao kila siku anadhoofu kiafya na kifikra.

Maji waliyavulia nguo hawana budi kuyaoga.
 
Back
Top Bottom