Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Nguvu za giza zinabeba watu hata wasiofaa kabisa.Waziri mkubwa huenda walikuwa ni baadhi ya Mawaziri, lakini hakuwa waziri Mkuu, ila kwa kiherehere cha Magu huenda alichukiwa na wengi ,na LAITI angechukiwa NA waziri Mkuu enzi hizo angeishia msmu wa kwanza wa unaibu uwaziri, ila hata hivyo nguvu za giza zinasaidia.