Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Hao mawaziri waandamizi waliomchukia ni kina nani?
Tuanzie hapa: baada ya Kikwete kuwa rais alimuondolea ulinzi Magufuli ( baada ya kutaka kuuliwa Mkapa alikuwa amempa walinzi)
Na kwenye "ma barabara" akatolewa! Alirudushwa baada ya aliyewekwa kupwaya!
 
Kifo cha Magufuli kichunguzwe

Haina haja ya kuchunguza yeye mwenyewe alishasema kajitoa sadaka kwa ajili ya ukombozi wa umaskini wetu na akatuhakikishia kwamba ana maadui wengi wenye nguvu maana vita ya uchumi sio ya kitoto…alituomba sana tumuombee ili aweze kutoboa…kwa sasa kilichobaki ni sisi kuchagua mbivu tu #kataawahuni
 
Ili kundi lililowapa sumu JPM (rip), Mwakyembe, Mangula, nk halikuishia hapo nawaza hata vifo vya "corona" vya viongozi wetu kuanzia Mkapa, Mfugale, ni kundi hilo. Kutoka moyoni mwangu naamini kundi hilo watafikia wakati wataanza kupeana sumu wao kwa wao na hapo ndipo kuna mtu miongoni mwao ataasi na kumwaga Siri zote. Jiulize kundi la kulisha sumu wakikosea wakamtumia Zitto (siasa duodenum) unadhani atakaa na hiyo Siri njaa ikiuma?
 
Angekufaga kipindi hicho asingekuja kuwa rais wa nchi hii na hivyo taifa lisingepitia mateso yake.
 
View attachment 2058384

Serikali ya Tanzania inao wajibu wa kuchunguza na kuweka bayana kifo cha Magufuli na si vinginevyo.

Utetezi na kupuuzwa kwa namna yeyote uchunguzi wa kifo cha Magufuli ipo siku huko mbeleni jambo hilo litaleta matatizo makubwa!

Magufuli maisha ya uongozi wake yalijawa kutishwa kuuawa na hilo aliliweka bayana yeye mwenyewe tena mbele ya Viongozi wakuu wastaafu na hakumng'unya kutamka.

Kifo cha Magufuli kichunguzwe kwa sababu kilijawa na sintofahamu kubwa!
Ukiwa muuaji jiandae kuuliwa tu
 
Kabla ya ombi lako kufikirika.
Waanze na nani aliyemrwanga Risasi lukuki TAL Mungu anauwezo mkubwa kuliko tunavyowazia.
Umeshusha uzi hapa kama vile ulilewa sana jana nini.
 
RIP baba askofu Prof Mwenesongole!

Sikuwahi kukushuhudia ukichanganya dini na siasa.
 
View attachment 2058384

Serikali ya Tanzania inao wajibu wa kuchunguza na kuweka bayana kifo cha Magufuli na si vinginevyo.

Utetezi na kupuuzwa kwa namna yeyote uchunguzi wa kifo cha Magufuli ipo siku huko mbeleni jambo hilo litaleta matatizo makubwa!

Magufuli maisha ya uongozi wake yalijawa kutishwa kuuawa na hilo aliliweka bayana yeye mwenyewe tena mbele ya Viongozi wakuu wastaafu na hakumng'unya kutamka.

Kifo cha Magufuli kichunguzwe kwa sababu kilijawa na sintofahamu kubwa!
Acha unafiki wewe, akiwa hai alizuia uchunguzi wa wote waliouawa chini ya utawala wake na pia alizuia uchunguzi kuhusu nani aliyehusika kumpiga risasi zaidi ya 30 Tundu Antipas Lissu.
 
View attachment 2058384

Serikali ya Tanzania inao wajibu wa kuchunguza na kuweka bayana kifo cha Magufuli na si vinginevyo.

Utetezi na kupuuzwa kwa namna yeyote uchunguzi wa kifo cha Magufuli ipo siku huko mbeleni jambo hilo litaleta matatizo makubwa!

Magufuli maisha ya uongozi wake yalijawa kutishwa kuuawa na hilo aliliweka bayana yeye mwenyewe tena mbele ya Viongozi wakuu wastaafu na hakumng'unya kutamka.

Kifo cha Magufuli kichunguzwe kwa sababu kilijawa na sintofahamu kubwa!
Magufuli anawatesa sana nyie watu. Inaonekana hamlali usiku wakati yeye keshalala usingizi wa milele.
 
View attachment 2058384

Serikali ya Tanzania inao wajibu wa kuchunguza na kuweka bayana kifo cha Magufuli na si vinginevyo.

Utetezi na kupuuzwa kwa namna yeyote uchunguzi wa kifo cha Magufuli ipo siku huko mbeleni jambo hilo litaleta matatizo makubwa!

Magufuli maisha ya uongozi wake yalijawa kutishwa kuuawa na hilo aliliweka bayana yeye mwenyewe tena mbele ya Viongozi wakuu wastaafu na hakumng'unya kutamka.

Kifo cha Magufuli kichunguzwe kwa sababu kilijawa na sintofahamu kubwa!
Hao waliofanya hivyo watakuwa wazalendo....KAMA NI KWELI SUMU IMETUMIKA..SAFI SANA
 
Salaam Wakuu,

Nilikuwa nasikiliza Hotuba ya Hayati Magufuli, alipokuwa anadai eti alikuwa anafanya kazi vizuri kipindi cha Urais wa Benjamin Mkapa Hadi Mawaziri wenzake wakaanza kumchukia akapewa Sumu dodoma ambapo anadai alikiepuka kifo(Kifo hakiepukiki).

"Nilianza kuona dalili za baadhi ya Mawaziri tena wengine wa ngazi za juu kabisa kuanza kunichukia na muda si mrefu baada ya hapo nikanyweshwa sumu Dodoma". Alisema hayati Magufuli

Mawaziri ngazi za juu kabisa kipindi cha Urais wa Benjamin Mkapa walikuwa ni Cleopa Msuya na Frederick Sumaye ambao ndo walikuwa Mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti.

Je, ndo aliowamanisha au kuna wengine?

Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anachukiwa? Na kwanini alikuwa anawachonganisha Mawaziri wenzake na Rais?
 
Hao waliofanya hivyo watakuwa wazalendo....KAMA NI KWELI SUMU IMETUMIKA..SAFI SANA

1665389635211.png
UNA ROHO MBAYA WEWE :D:D
 
Back
Top Bottom