Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Umejibu vizuri mkuu,pia inawezekana mkubwa kwa umri kati ya mawaziri wote waliokuepo.

Aisee ila pia ikawa ni Wizara Kubwa kwa maana ya kimajukumu na unyeti wake Mfano Wizara ya TAMISEMI au Mambo ya Nje.

Na Waziri atakuwa mkubwa kwa kuwa Wizara nayo ni kubwa
 
Rejea visasi dhidi ya Sumae huenda si kwa yeye kuhamia upinzani pekee, huenda yapo mengine nyuma ya pazia. Muda ni suluhu ya mengi, ipo siku tutajua alipo Ben Saa8 na waliomshambulia Lissu.
 
Rais siyo kiherehere ndg!
Nimemaanisha enzi hizo, means Magufuli huenda alikuwa kiherehere ,ujue hadi uje uchukiwe na maboss wako wa ngaz za juu unyweshwe sumu ni suala la system kuamua...basi Kuna mkono huwa unasaidia wa nguvu za giza ...mfano kifo cha Daudi Balali, sumu ya mwakyembe, hata hiyo sumu aliyoongelea Magufuli ni system tu ...hizo zote huwa ni siri zimejificha tu ndan yake. Mimi na wewe tnakuja kufahamu baada ya tukio...
 
Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.

Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
Siasa mchezo mchafu. Siku ile wazee walipoitwa ikulu mzee wa Hanang akawa na uthubutu wa kumuangalia Ngosha machoni.

Hakuna aijuaye kesho inafanana vipi.
 
Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.

Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.

Akimaliza muda wake wa urais atamtaja kwenye kitabu atakachoandika.
 
Back
Top Bottom