Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Inaonekana Magufuli alikata mirija yako yote ya "Kipato-janjajanja"..jifunze kuzoea na kuendana na mazingira
 
wewe umesikia summary ya kitabu cha BWM (naendelea kukisoma naperuzi kurasa kiyellow page..kasema kabisa hakujua kama angekuja kuwa rais....JPM nae hadi alipewa sumu na kuundiwa zengwe kedekede kwenye cabinet...ila walikuja kuwa wanasiasa hadi kufikia the highest top political position) na kumbuka JPM huko nyuma kwenye ubunge mara mbili anaangukia pua ila alisimama.

Wanaotengenezewa njia bahat mbaya sana huwa wanalenga pale pale washatelezeshewa matokeo yake umate mate ukiisha nawao wanapuyanga, Godfathers wakiyumba nao wanayumba mazima. Hawajui kusimama na migu yao.

Mwanasiasa mzuri ni yule anayeishi na siasa, niyule ambaye siasa inamjenga kama alivyo ,the political situation creates him/her, hapo ndio utatoa monster wa siasa. Hawa wa kushikwa mkono na kusogezwa na kutengenezewa njia makusudi huangukia pua.

Ukisubiri kulenga penyewe utakosea sana mashimo, usiwe kama panya akikurupishwa anakimbia na lazima alitafute lile lile shimo lake ndimo hulenga kuingia. Kuwa kama mr.snakeman yeye ukimkurupua anaingia shimo lolote anatanguliza Mkia ila mwisho wa siku mkia unakua chini kichwa juu ya shimo.

Kila la kheri katika politics. Karibu kutamu kule usiogope
 
[Q Son drink water, post

You see, kila anajikweza atashushwa, na yule anayejishusha atakwezwa. Uzuri wetu watanzania ni watu wa mastory....na yataendelea kuwa mastery.
lete hadithi aisee tuendelee kuchangamka
 
Titicomb,
Wacha kudanganya watu mkuu
Umetafsiri vibaya biblia
Hayo maneno yanazungumzia hukumu na sio mahakamAni,huenda ni hukumu ya mbinguni au ya maneno ya watu wale wapenda kuhukumu
 
Wacha kudanganya watu mkuu
Umetafsiri vibaya biblia
Hayo maneno yanazungumzia hukumu na sio mahakamAni,huenda ni hukumu ya mbinguni au ya maneno ya watu wale wapenda kuhukumu
Ahsante kwa mchango wako juu ya tafsiri.

Hiyo si tafsiri yangu, nimenukuu toka Biblia Habari Njema (BHN) kama ilivyo toka mtandaoni.

Link Isaya 54:17 Silaha zote zilizoundwa kukudhuru wewe hazitafaa chochote kile. Mtu akikushtaki mahakamani, utamshinda. Hilo ndilo fungu nililowapangia watumishi wangu. Hizo ndizo haki nilizowathibitishia. Mimi Mweny | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.

Nilitaka kuweka na tafsiri nyingine toka toleo tofauti la biblia nikaona ujumbe utakuwa mrefu.

"Isaya 54:17 Kila silaha itengenezwayo juu yako ... - Bible.com
Isaya 54:17 Kila silaha itengenezwayo juu yako haitafanikiwa, na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asem | Swahili Revised Union Version (SUV) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.

Kila silaha itengenezwayo juu yako haitafanikiwa, na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa .."

Hiyo ni tafsiri ya Biblia ya wakatoliki ktk lugha rahisi ya sasa.
 
Lucas Mobutu nadhani umeweza kuona tafsiri ya kiswahili cha zamani kigumu kisichorahisishwa toka ktk Swahili Union Version (SUV) bible ilivyo.
Ni kama literal translation ndio maana lugha imekuwa ngumu kwa ulimwengu wa leo.
 
Even Tundu Lissu survived because God has a purpose with him, he's the 6th President of Tanzania.
Magufuli ordered his assassination even the world knows this, so Magufuli shall pass away and leave Lissu alive
Hopefully.
I would like to see that happens, eager to see how he will run things differently and still manage to take us in the' Promised Land'
 
Pole Raisi Magu,lakini umesema mwanzoni ilikuwa shwari hadi pale Raisi Mkapa alipokuita askari wa mwavuli no.1 ndipo mawaziri tena wakongwe wakakuchukia,kilichofuata ukapewa sumu.
Pili umesema katika cabinet meeting majority ya mawaziri walipinga mpango wako uliopendekeza serikali kutenga pesa za mapato yake
kujenga barabara,lakini Raisi Mkapa aka overrule.
Kwa hiyo ni wazi wabaya wa Raisi Magu sio watu wadogo au upinzani in reality ni watu wazito waliokuwa karibu au wako karibu na ngazi za juu au ndani ya serikali yenyewe.
Kazi kweli kweli Magu kuna safari ndefu.
 
Rais Magufuli katika uzinduzi wa kitabu cha Mzee Ben, alimwaga ubuyu. Anadai Mzee Ben alimsifu kuwa yeye ni Askari wa miavuli namba moja. Sasa akadai kuna mawaziri wa ngazi za juu kabisa walimwonea wivu na kuanza kumuangalia vibaya.


Ni kina nanai hawa kwa wafuatiliaji siasa za zama zile. Usitaje jina, taja wizara tu.

Please Mods: Isomeke Hawa mawaziri.
 
Back
Top Bottom