Kama alivyomlinda mtumishi wake TAMLYes, Mungu alimlinda mja wake, Kwasababu alikuwa na maono juu yake
Kama alivyomnusuru Tundu Lissu ili aje kuwa Rais wa 6 wa TanzaniaYe,Mungu alimlinda mja wake,Kwasababu alikuwa na maono juu yake
Hawezi kufikia ulinzi wa Rais wa MarekaniKumbe wasiojulikana walitaka kum restisha in pisi enzi yuko minister
Ndio maana analindwa zaidi ya Donald Trump wa Marekani
Ili aje awe mwenyekiti wa 4 wa CHADEMA mwishon mwa mwaka huu.Kama alivyomnusuru Tundu Lissu ili aje kuwa Rais wa 6 wa Tanzania
Pole sana Rais wetu mtarajiwa Tundu Lissu, Mungu akupe miaka 200 zaidi ya kuishiPole sana rais wangu,Mungu akupe miaka mia,amina
Pole sana rais wangu,Mungu akupe miaka mia,amina
God has purpose on him, that's why he didn't die and still is here to stay, hopefully till 2025.He better would have died, than this disaster which people go through
Wewe unaamini kuwa muuwaji aliyedhamiria kabisa atachagua sumu itakayomnusuru? Ila sio ajabu mie huyu jamaa nimeishi nae karibu sana huko zamani siwezi kupinga kuwa watu walijaribu kumnaniliu maana tabia zake zilivyo ni ngumu sana kuishi nae karibu hasa kwa sisi Watanzania.kama wale waliweza kuwa na uthubu wa kumnywesha sumu, hivi viongozi wa sasa wanashindwa vipi nao kutenda??
Nyie wafuasi wa Magufuli na CCM sijui mna laana gani, hivi zile risasi angepigwa Makonda, watuhumiwa wangekuwa Bado hawajakamatwa?Pole sana mkuu kwa kulishwa matango pori.
God has purpose on him, that's why he didn't die and still is here to stay, hopefully till 2025.
You and those assassins may try hard to throw peas at a wall hoping something will stick.
The way things goes, it looks like His Excellency John P.M is the God's chosen one!
Hapo chini ni ahadi ya Mungu kwa watumishi wake wateule.
Isaya 54:17 Silaha zote zilizoundwa kukudhuru wewe hazitafaa chochote kile. Mtu akikushtaki mahakamani, utamshinda. Hilo ndilo fungu nililowapangia watumishi wangu.
Isaiah 54:17 no weapon that is fashioned against you shall succeed, and you shall refute every tongue that rises against you in judgment. This is the heritage of the servants of the LORD and their vindication from me, declares the LORD.”
Read more: 22 Bible Verses About God’s Protection
Even Tundu Lissu survived because God has a purpose with him, he's the 6th President of Tanzania.God has purpose on him, that's why he didn't die and still is here to stay, hopefully till 2025.