Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
View attachment 287841
babu yangu alikuwa akiniambia nguruwe hana aibu akikosa chakula anakula ata kisicholiwa nimeamini kweli kabisa ccm ni sawa na nguruwe wanaiga bila aibu ccm wamekuwa wajinga kupita kiasi cha ujinga duniani!!!!
 
Jamani, sitaki kuamini kuwa Chama Mama, Chama Kubwa kimeishiwa mbinu kiasi hicho !!! Yaani sasa mnatuchanganya na kaulimbiu zenu, tushike ipi ? Hapa Kazi Tu -Mabadiliko - M4C. Mwisho mtaenda wote kwa hao wenye hizo kaulimbiu. Ina maana Hapa Kazi Tu imeshindikana kwekwa katika vitendo ??? Ndo tatizo la kuteua mtu ambaye alikuwa hajajiandaa vizuri Kisaikolojia katika suala fulani.

Ndoo uaminii


Chagua Magufuli ~jembe
Chagua Magufuli ~hapa kazi tu
Chagua Magufuli ~muwajibikaji
Chagua Magufuli ~muadilifu
Chagua Magufuli ~ tinga tinga
Chagua Magufuli ~bomoabomoa😉

Sahiz imezaliwa mpya

Chagua magufuki ,~M4C


Soon kesho tutaskiaa

Chagua magufuli~ni lowasa
chagua Magufuli ~ mpenda ukawa
Chagua Magufuli ~ mpinzani

Let's wait , and watch and see this movie so interesting :sly:
 
Si aige tu kaulimbiu ya Jakaya "Maisha Bora kwa kila mtanzania" mbona anaogopa kucopy hiyo wakati imekaa vizuri tu?
 
hahahaha wapuuz kweli hawa CCM AKUNA ASIE JUWA M4C ni CHADEMA
 
Afadhari ukose busara utaomba na kuonyeshwa cha kufanya. Ila uongo nani atakusaidia. Ni amri sio sheria.

Anae forge mikatabaa na kupandisha twigaa waondoke sio muongo ? Anaekomba escrow na meremeta sio mwizii??

Maandiko yanasema ukikosa katika moja umekosaa juu ya yote , usiibe sio amri?

Nashangaa Sana'a unavyoongeleaa sheria na amri za aliyejuu na kushindwa kuwafikiria wenginee
Unajipigia interval yako tu ya 45-70 yrs na kusahau vizazii vijavyoo
 
Mabadiliko makubwa yanaletwa na MAgufuli sio hili genge la nzige na mafisadi waliojikusanya na kuanza kutuhadaa kwa maneno matamu yasiyo na vitendo hata vya kufikirika,watanzania tumeamka natunafahamu kuwa ni nani anatufaa katika kuongoza taifa letu.

Kamaa kuamkaa kwa watanzaniaa ni kwa hiyoo dizine ya uamkoo wako

Basii watanzaniia tumelala tenaa tumepigwaa nusu kaputii kama sio kaputii kamili
 
Haijalishi kama ilikwepo au la chamsingi mmepotea njia tuu mtake msitake mwaka huu mtaisoma namba.

Kazii nzurii kijanaa

Natumainii saa saba imefika. . Ile buku tano uliyopewa itakuaa imeishaa
Kafate tanoo ya pilii ikusindikize hadi jioni
 
wewe ni muongo namba moja na sheria ya mitandao lazima ile na wewe maana taarifa unazozitoa ni za uongo kabisaaaa acha kupotosha watu humu.

Mbona unalia hivyo................... sheria iko mahakamani!!!

MOVEMENT 4 CHANGE (M4C)
 
Kinachotoa mwanga na kuonekana zaidi ni M4C ya Chadema na Rangi zake ..... hii itaikoroga zaidi ccm na wapiga kura watafuata kupigia kura sehemu yenye Rangi za Chadema ..... hilu wazo la copy and paste kwa ccm ni la kijinga zaidi kuliko kusaidia
 
wewe ni muongo namba moja na sheria ya mitandao lazima ile na wewe maana taarifa unazozitoa ni za uongo kabisaaaa acha kupotosha watu humu.

weka ushaidi wa picha ya hiko kikao acha kudanganya watu hapa wewe mtu muongo sana, ushindwe na ulegee

Huyu mtoa mada kakurupuka tu hana lolote ni muongo maana hajaweka ushahidi wowote ule, watu wa namna mhii ni wa kuwaogopa kam kipindupindu

Wewe mnafki huna lolote acha kutuzuga hapa.

Ameambiwa aweke ushaidi yakinifu sio bla blaa hapa na wewe acha kumtetea jitu liongo kama hilo.

Mbona unapaniki , maana hakuna kitu cha maana umeongea tangu umeingia huku

utajiju mbabaaaaaaa endelea kuweweseka huko vijijini hawawajui kabisaa na hiyo kauli ndo inasambaa kama maji kwamab magufuli for change, hahahahaha mnalo hilo imekula kwenu.

Acha uongo wewe kijana, hana muda huo kuikubali hiko chama cha wapiga dili.

Mtaisoma namba tu mwaka huu mpaka mtie adabu mwaka huu.

Endelea kupoteza muda mtabaki kuwa wasindikizaji daima kwa miaka laki 8

Haijalishi kama ilikwepo au la chamsingi mmepotea njia tuu mtake msitake mwaka huu mtaisoma namba.

NDO BASI TEEEEEENA mtabaki kulia tu na kushika vichwa vyenu.

Acha kujidanganya wewe, mwaka huu mtakiona cha mtemakuni IKULU sio sehemu ya maigizo. SAWA?

ishakuwa ya zamani hiyo, ya sasa hivi ni M4C=MAGAFULI FOR CHANGE.

Jina lako linaashiria we ni mtoto wa kiume , bali style yako ya uandikaj inaashiria tofauti , maana haujib hoja umegeuza huu wanja wa mipasho , au na we uko kwenye lile kundi lenu la madira la #mamaongeanamwanao
 
Ndoo uaminii


Chagua Magufuli ~jembe
Chagua Magufuli ~hapa kazi tu
Chagua Magufuli ~muwajibikaji
Chagua Magufuli ~muadilifu
Chagua Magufuli ~ tinga tinga
Chagua Magufuli ~bomoabomoa😉

Sahiz imezaliwa mpya

Chagua magufuki ,~M4C


Soon kesho tutaskiaa

Chagua magufuli~ni lowasa
chagua Magufuli ~ mpenda ukawa
Chagua Magufuli ~ mpinzani

Let's wait , and watch and see this movie so interesting :sly:

Wameshajiunga UKAWA hao!
 
ukawa wawa chane live hao jamaa,wanao copy na paste,niabu kwawa2 makini,kuhadaa jamii,mara 2nataka kufanya madiliko,ccm,nihiyo,hiyo,wakati huu wa2eleze yale maisha bora yapo?ama ndo haya maisha cement kutoka elf7-hadi elf 15,sukari kutoka elf1,kwenda elf2?n,k
 
Hapa ndipo CCM watakapoanza kujua nini maana ya kula CCM kura CHADEMA.
 
Back
Top Bottom