Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Na mwaka huu hadi kampeni ziishe atakuwa ameongea hata kirundi!
Hata kama akiongea wewe kinakuuma nini? kama huna jipya kaa kimya wewe kijana
Na mwaka huu hadi kampeni ziishe atakuwa ameongea hata kirundi!
magufuli bado kuvaa gwanda tu ahamie UKAWA mchezo uishe
Ccm: Chama cha mafisadi!
wEWE KAMA NANI? SI MMETAKA WENYEWE? MTAISOMA NAMBA MWAKA HUU
weka ushaidi wa picha ya hiko kikao acha kudanganya watu hapa wewe mtu muongo sana, ushindwe na ulegee
Natoa onyo kwa mgombea wa ccm na wapambe wake wote kutumia neno M4C kwa kirefu cha aina yeyote ile la sivyo kila mwanachadema alipo anatakiwa kuchukua hatua pale anaposikia mwana ccm yeyote akitumia neno M4C kwa kirefu cha aina yeyote ile
Acha kujidanganya wewe, mwaka huu mtakiona cha mtemakuni IKULU sio sehemu ya maigizo. SAWA?
utajiju mbabaaaaaaa endelea kuweweseka huko vijijini hawawajui kabisaa na hiyo kauli ndo inasambaa kama maji kwamab magufuli for change, hahahahaha mnalo hilo imekula kwenu.
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
View attachment 287841
waandike kwenye magari yao waone jinsi watakavyojisika wenyewe wakiwa ndani ya shimoNaona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.