IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
Usiwasingizie vijana wa chadema, ni magufuli mwenyewe kaiga
Na si Magufuli bali wapiga deal wa Ccm ndio wanafanya ujinga wa kumwangamiza mwenzao, kila kitu wao wanakopi, imebaki kuwaazima Mgombea tu, maana Sera za Mabadiliko washaiba