jana kilifanyika kikao cha dharura ikulu baada ya mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;
1. January makamba amjibu mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya mbatia. (hili limetekelezwa).
2. Magufuli atumie brand name ya m4c ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui magufuli lakini wakiambiwa m4c watampigia kura. Hii idea ilitolewa na january. (hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya m4c wakidai ni magufuli 4 change).
3. Mama maria nyerere atumike kuongea na mke wa magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya kampeni. Ikumbukwe mke wa magufuli (mama mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama salma kikwete, tunu pinda na magreth sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni maria nyerere.
4. Dr.wilbroad slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi magufuli. Akirudi kutoka marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya ukawa.
Sambaza kwa wengine ili ccm wajue tumewashtukia na tumejipanga kukabiliana nao. Watanzania wanachotaka ni mabadiliko sio mbinu.!
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;
1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).
2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).
3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.
4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
Sambaza kwa wengine ili CCM wajue tumewashtukia na tumejipanga kukabiliana nao. Watanzania wanachotaka ni Mabadiliko sio mbinu.!

wewe ni muongo namba moja na sheria ya mitandao lazima ile na wewe maana taarifa unazozitoa ni za uongo kabisaaaa acha kupotosha watu humu.
Yaan Ukawa mnanifurahisha kwa mikakati yenu iliyoenda shule! Basi kweli elimu ya bongo ipo vizuri. Ina maana sisi ccm hatukusoma hapa bongo!!!! yan tupo tu kwa mikakati ya kuiba kura! Ila hata mimi nimechoka na hii mikakati mifu isiyokua na matokeo ya uhakika.
Kitendo cha Slaaa kurudi tena na kuongea chochote cha kuhujumu ukawa kitazidi kuiongezea ukawa.
Siku ya Nyani kufa, miti yote huteleza; CCM iko vibaya sana hata akili na mbinu hawana tena! Kweli CDM/UKAWA tunaongoza CCM inatawala!!! jamani mwendo ni kuiga kila kinachofanywa na CDM; Ok igeni hilo then UKAWA tutabadilisha mapigo mpaka tuwapoteze njia mazima!
Ushauri wa bure; kutumia M4C peke yake haitoshi; watumie na bendera za CDM, na mabango yao yote wayashushe yabaki ya Magufuli 4 Change na nyimbo za CDM ndio watafanikiwa zaidi!!
Yaan Ukawa mnanifurahisha kwa mikakati yenu iliyoenda shule! Basi kweli elimu ya bongo ipo vizuri. Ina maana sisi ccm hatukusoma hapa bongo!!!! yan tupo tu kwa mikakati ya kuiba kura! Ila hata mimi nimechoka na hii mikakati mifu isiyokua na matokeo ya uhakika.
Hata zile clip za video zisingevuja pale serena hotel mngesema ni uongo! Mbona sijaona mtu akikanusha hilo?