MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
Last edited by a moderator:
Kama ni uongo basi hakuna haja ya jaziba ndugu yangu. Wewe lete UKWELI wako tu kumaliza mzizi wa fitina.wewe ni muongo namba moja na sheria ya mitandao lazima ile na wewe maana taarifa unazozitoa ni za uongo kabisaaaa acha kupotosha watu humu.
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;
1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).
2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).
3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.
4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
Sambaza kwa wengine ili CCM wajue tumewashtukia na tumejipanga kukabiliana nao. Watanzania wanachotaka ni Mabadiliko sio mbinu.!
weka ushaidi wa picha ya hiko kikao acha kudanganya watu hapa wewe mtu muongo sana, ushindwe na ulegee
Naona hata M4C ina rangi za CHADEMA Yaani blue, red and white. Soon Magufuli ataanza kumnadi Lowassa kama hali Ikiendelea hivi.
Yaan Ukawa mnanifurahisha kwa mikakati yenu iliyoenda shule! Basi kweli elimu ya bongo ipo vizuri. Ina maana sisi ccm hatukusoma hapa bongo!!!! yan tupo tu kwa mikakati ya kuiba kura! Ila hata mimi nimechoka na hii mikakati mifu isiyokua na matokeo ya uhakika.
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;
1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).
2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).
3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.
4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
Sambaza kwa wengine ili CCM wajue tumewashtukia na tumejipanga kukabiliana nao. Watanzania wanachotaka ni Mabadiliko sio mbinu.!
Jamani, sitaki kuamini kuwa Chama Mama, Chama Kubwa kimeishiwa mbinu kiasi hicho !!! Yaani sasa mnatuchanganya na kaulimbiu zenu, tushike ipi ? Hapa Kazi Tu -Mabadiliko - M4C. Mwisho mtaenda wote kwa hao wenye hizo kaulimbiu. Ina maana Hapa Kazi Tu imeshindikana kwekwa katika vitendo ??? Ndo tatizo la kuteua mtu ambaye alikuwa hajajiandaa vizuri Kisaikolojia katika suala fulani.Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
View attachment 287841
M4c=magufuli 4 change√
4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
weka ushaidi wa picha ya hiko kikao acha kudanganya watu hapa wewe mtu muongo sana, ushindwe na ulegee
Ataanza kujifunika Bendera ya CHADEMA sasa watu km hawa ambao wanashindwa kubuni vitu vidogo km namna hii km Logo wataweza vipi kubadilisha hili Taifa
sasa kama zimetoka ikulu wewe kikalogosi unaweza kuzinasa thubutu
Mkuu, yaani kitendo cha kutajwa neno Mabadiliko hata kama niko ndotoni, najua anatajwa UKAWA, sasa tena hili la CCM kutumia neno mabadiliko mbona linawasaidia UKAWA !! Na hapa mabadiloko yanaweongelewa na UKAWA ni ya kuiondoa ccm madarakani ili UKAWA waisimamie Serikali iwatumike wananchi, Sasa ccm inataka kufanya mabadiliko yapi tena ilhali imeishasema ni ile ile !!!Nilianzisha Uzi huu hapa Jamii Forum, nikieleza poor strategy zao
Kauli mbiu ya Mabadiliko inawachanganya CCM. Wanajichanganya
Hapa nilieleza CCM wanavokosa mwelekeo na kutapatapa na slogan za CDM
kwanza wame fail na kushindwa kujua hii M4C haitumiki sana katika kampeni hizi isipokuwa #Mabadiliko , neno ambalo walishaanza kukimbia nalo nadhani wameona ni kumpiga Teke Chura.
Hapa mnapiga kampeni za Lowasa na chadema, watanzania si wajinga kiasi eti chakuchanganya M4C na magufuri.
Mfa maji haishi kutapatapa sasa CCM inakufa