Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

sasa mkawaambie watu mabadilikoooooooo mskie jibu lake kudadek lumumbaz mmeshikwa pabaya sana yani mnadandia kila kitu mnusurike lakini waaaap

hamna namna mabadiliko lazima
 

Attachments

  • 1442483680842.jpg
    1442483680842.jpg
    25.7 KB · Views: 128
Wanaweweseka hao,m4c imeanza kitambo,wamezidiwa hawana chao tena,msishangae kuona mabango na picha za magufuli zikiwa na rangi ya chadema,make ccm wameshakubali kuwa chadema na ukawa ndo mpango mzima
 
Twende na m4c original ambayo ni ya lowassa, wanaokopi hawafai
 
Hata sioni haja ya CDM kuchukia kwenye hili. Inajulikana wazi kwa wananchi walio wengi hiyo M4C inamaanisha nini na iliasisiwa na chama gani, kwa upande wangu naona hapo ni kama vile CCM wanawafanyia kampeni CDM bila kujua. Huenda wakafikiri CCM nayo imejiunga UKAWA.....

Acha kujidanganya wewe, mwaka huu mtakiona cha mtemakuni IKULU sio sehemu ya maigizo. SAWA?
 
sasa hizi ni ishara ya mabadiliko tu kuzungusha mikono hyo m4c haibambi sana wameshachelewa
 
utajiju mbabaaaaaaa endelea kuweweseka huko vijijini hawawajui kabisaa na hiyo kauli ndo inasambaa kama maji kwamab magufuli for change, hahahahaha mnalo hilo imekula kwenu.

Vijiji gani hivyo? Tembea uone usikubali kuhadithiwa
 
Natoa onyo kwa mgombea wa ccm na wapambe wake wote kutumia neno M4C kwa kirefu cha aina yeyote ile la sivyo kila mwanachadema alipo anatakiwa kuchukua hatua pale anaposikia mwana ccm yeyote akitumia neno M4C kwa kirefu cha aina yeyote ile
Nami pia nakuunga mkono.Matumizi ya M4C ni tredmark ya chadema.
 
Tatizo la Maghufuli bado ni mchanga katka siasa kwa hiyo kila anachokiona anaiga hata kama kina madhara kwake baadaye. Na ukiona hvyo ujue sera na hoja zimeanza kumuishia ndiyo maana nanabaki kuiga kila kitu cha wenziwe!
 
Haijalishi kama ilikwepo au la chamsingi mmepotea njia tuu mtake msitake mwaka huu mtaisoma namba.

Sawa tumepotea njia kwa sababu sisi ndio tuwaiga nyinyi, lakini hali halisi huwezi kuipinga kwa keyboard tu.
 
Inategemea ni nani alianza kuitumia hiyo kauli na kama kweli ana tafsiri yake. Mimi nilijua M4C walilenga kuondoa ccm madarakani na kuweka Seriklai itakayokuwa karibu na wananchi kuwatatulia matatizo yao. Nashindwa kuelewa ccm wanapotumia kauli hiyo wanataka kubadili nini ilhali walishasema ccm ni ile ile !!!
 
Natoa onyo kwa mgombea wa ccm na wapambe wake wote kutumia neno M4C kwa kirefu cha aina yeyote ile la sivyo kila mwanachadema alipo anatakiwa kuchukua hatua pale anaposikia mwana ccm yeyote akitumia neno M4C kwa kirefu cha aina yeyote ile

wEWE KAMA NANI? SI MMETAKA WENYEWE? MTAISOMA NAMBA MWAKA HUU
 
Na mwaka huu hadi kampeni ziishe atakuwa ameongea hata kirundi!
 
tatizo la maghufuli bado ni mchanga katka siasa kwa hiyo kila anachokiona anaiga hata kama kina madhara kwake baadaye. Na ukiona hvyo ujue sera na hoja zimeanza kumuishia ndiyo maana nanabaki kuiga kila kitu cha wenziwe!

acha uongo wako wewe huna lolote huna uhakika wowote, wewe ndo mchanga
 
Maskinii ccm
Maskinii.chamaa cha mapinduzii

Nakumbukaa miakaa ya juzii tu 99 tukiwa shule ya msingi tulikua tunaimba nyimbo.za ccm wakati tunapiga gwaride ingiaa madarasani


Leo hii ccm ndo imeporomoka kiasi hikii?? Mpkaa wamefikiaa hatuaa wanashindwaa hata kueneza ilanii ya chama chao na badala yake wanakuaa bussy kuangalia UKAWA wanafanya ninii ili wa kritcise ?? Seriously??😕


Mpka wanafikiaa hatua ya kuwafanya watanzania ma mbumbu kiasi cha kutoelewa M4C ni movement for change ??


Mpka wanaanza kujifariji kua kijijini watu hawaijui M4C kwahiyo wanajiaminisha kuwa kwa kivuli cha kutumia M4c watawalaghai wananchi kujuaa ni Magufulii 4 Change ??

Yaani badala ya kuconcetrate katika kuwashawishi wanachi wao wako bussy kutafuta Njia ya kuwarubuni

Dah poor ccm 🙁
We once loved you but currently we love Tanzania better
Good bye ccm
Rest In Peace ....
 
Back
Top Bottom