Huu ndio umasikini wa mawazo.Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
![]()
Akili za chalinze na bumbuli kazini
Umesahau kule msoga.