Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Why tunakubali kuwa waongo, tunakubali shetani atutumie kwani maisha hapa ni 45 years -70 kisha zaidi ni juu. Shahidi wa uongo ni chukizo saaaaaaaana

Yaani nichukizoo kabisaa , kama vilee alivyoo kiongozii mpumbavu asie na hekimaa anaewadhulumuu maskini hakii zoo
namaanisha current regime...
 
Nimesikia huu ni mkakati uliopangwa wa kuchanganya watu akili kama wasipokuwa makini wampigie kura Magufuli wakidhani wanawapigia Chadema. Kaa chonjo!!

Mkuu muda ukifika umefika tu. hakuna namna hata ukizuia namna gani. na wapigakura hatutakosea. Je mkono wako umeshawahi kukosea badala ya kupeleka tonge la ugali mdomoni ukapeleka sikioni?!!!! hakuna tonge la ugali litaenda mdomoni tu.
 
Kila kona manajinadi kwa kauli yenu ya M4C lakini mmesahau kuwa M4C MAANA YAKE NI MAGUFULI FOR CHANGE hahahaha muwe mnafikiri kabla ya kuchagua maneno wajameni. Poleni ndo basi tena.

John+Magufuli+PHOTO.jpg
 
Toka jana Magufuli akopi kauli hiyo marafiki zangu 3 wameamua kumpa kura EL na CHADEMA kwani wameona kuwa mgombea wa ccm anamkubali na anaikubali Chadema.
 
yaani ccm wamedesa hadi neno m4c?????

utajiju mbabaaaaaaa endelea kuweweseka huko vijijini hawawajui kabisaa na hiyo kauli ndo inasambaa kama maji kwamab magufuli for change, hahahahaha mnalo hilo imekula kwenu.
 
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;

1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).

2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).

3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.

4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.

Namba 1 na 2 zinamatatizo makubwa kama propaganda hakuna mtanzania mwenye akili anaweza kukocentrate kwa mtoto wa mama hata siku moja hayo ni mambo ya kimarekani hiyo ya 2 ndio uharo mtupu
 
Rangi zenyewe walivochanganya ndio Kabisa utachoka, 😀😀😀 Bora chata la M4C mngetupia rangi za Yanga.
Nawambieni kufikia October watakuja na Oparation Sangara.
 
CCM wanaonyesha dalili za kushindwa! Wanaiga mpaka nembo ya CHADEMA.
 
Why tunakubali kuwa waongo, tunakubali shetani atutumie kwani maisha hapa ni 45 years -70 kisha zaidi ni juu. Shahidi wa uongo ni chukizo saaaaaaaana
Mkuu in maana wewe unafanya yote kwa ajili yako tu, ukishaondoka duniani ndo mwisho wako, haujali kuandalia watoto, wajukuu na vitukuu Tanzania yenye neema !!! Kama waliotangulia wangiekuwa kama wewe, sasa hivi tungekuwa watumwa.
 
Yaani nichukizoo kabisaa , kama vilee alivyoo kiongozii mpumbavu asie na hekimaa anaewadhulumuu maskini hakii zoo
namaanisha current regime...

Afadhari ukose busara utaomba na kuonyeshwa cha kufanya. Ila uongo nani atakusaidia. Ni amri sio sheria.
 
Toka jana Magufuli akopi kauli hiyo marafiki zangu 3 wameamua kumpa kura EL na CHADEMA kwani wameona kuwa mgombea wa ccm anamkubali na anaikubali Chadema.

Acha uongo wewe kijana, hana muda huo kuikubali hiko chama cha wapiga dili.
 
Mkuu in maana wewe unafanya yote kwa ajili yako tu, ukishaondoka duniani ndo mwisho wako, haujali kuandalia watoto, wajukuu na vitukuu Tanzania yenye neema !!! Kama waliotangulia wangiekuwa kama wewe, sasa hivi tungekuwa watumwa.

Base kwenye mazingira ya ujumbe. Sio kutoka nje ya theme utapoteza mwelekeo. 'Kuandika uongo na kufanya uongo uwe ukweli', that's
 
Back
Top Bottom