inaonyesha ni jinsi gan ccm walivyo wavivu kufikilia yan mwizi wa mitiani ndo think tank wenu? leo nenda dunia nzima hata ukitaka kugoogle M4C inajulikana ni movement 4 change sasa nashangaa mnavyojitekenya wenyewe na kucheka sasa niwambie k2 hili mmebugi kama target ye2 ni vijijini watajua magufuli kaamia chadema na chadema mgombea wake urais ni lowassa hv amjawah kujiuliza kwa nn lowassa avai gwanda ni kutokana kuna watu vjijin wanajua lowassa bado yupo ccm sasa kuna uwezekano wa kupata kura za wanaccm pia ambao radio na tv kwao hawakijuh kuna sehemu wanasikiliza radio za msumbiji,zambia,kenya,rwanda c radio zenu sasa jitekenyeni tu mishoe mtajipiga vdole msije sema 2 mmeibiwa kura na ukawa coz utafiti wenu wa ndani narudia wa ndani imeonyesha maguful ana 69% huo ni wa ndani kwa maana ndani ya ccm wako wana ccm ndani ya ukawa wako wana ukawa sasa 69% ya ndani ya ccm hapo 31% ndani ya ccm hawamkubali magufuli