Magoli Matatu Si Mchezo! βš½πŸ˜…

Hujajibu swali mkuu
Jibu tayari liko hapo kuwa tulimani Yanga kwa vile tuna ishu naye siyo kwa sababu ni dhaifu maana kwenye NBC tuliashamaliza nao nafasi pekee ya kukutana naye ilikuwa hii lakini ndiyo hivyo Azam kamuokoa.
 
Muhimu magoli, ila goli moja linalipotikana kwa mbinde linaweka kumbukumbu ya mda mrefu sana!
Walau hilo linalopatikana kwa mbinde watasema game ilikua tafuuuuu sanaπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…