ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,974
Serikali iliyopo ina hang over they are not in a position to solve anything
Ubovu wa miundombinu unaosababishwa na utawala wa k8fisadi uliopoPunguza munkari brother, twende hoja kwa hoja.
Nakuuliza swali moja; chanzo cha mafuriko, au tuseme, kujaa maji kwa mitaa ya Dar es Salaam mvua inaponyesha, ni kipi?
Hapo tupo pamoja,hata mie nafikiria huduma za maji,umeme zimefikaje' Then yale majengo ya Pale jangwani ni mistake nyingine,Kwa kule Mbele chini nadhani pia mkondo wa maji umebanwaWana sehemu kubwa sana ya kulaumiwa kwa kusababisha mafuriko na kuzuia maji kuwa na flow yake....Lakini serikali nayo ina lawama nyingi tu, inaona mtu kajenga eneo lisilopimwa, lipo ukingoni mwa mto lakini utaona huduma za maji na umeme zinawafikia, ina maana gani, kuwa serikali imebariki wao kujenga na kuishi sehemu hatarishi.
Watu wengine wanapenda sifa! I remember old friend of mine! Huyu bwana tulikuwa tunafanya kazi ofisi moja maeneo ya Temeke! Kimsingi, my pay grade ilikuwa kubwa kuliko ya kwake lakini kubwa zaidi, mbali na mshahara, mie nilikuwa na mishe mishe zangu binafsi wakati mchizi alikuwa anategemea mshahara peke yake! In those old days, nilikuwa naishi Kinondoni lakini baada ya kupata ofisi Temeke, nikalazimika kuhamia Kurasini! Look, mchizi alikuwa amepanga Mikocheni, kodi aliyokuwa analipa ni mara tatu ya ile niliyokuwa nalipa mimi lakini ilikuwa majira kama haya, mchizi anahamia kwa kaka ake Chang'ombe Maduka Mawili manake huko Mikocheni alikokuwa anaishi ni full majanga mvua zikinyesha!
Hadi sasa raia 5 washapoteza uhai kutokana na mafuriko
Nimesikia 7 ndio wamefariki katika EA Radio.
Leo hali inaendeleaje huko jijini??
Kwenye wanaofahamu biashara za hapa mjini, lazima atoe shikamoo kwa mtu mwenye jiko! Nini Sinza, hata ukiwa nalo pande za Temeke bado huwezi kumlinganisha na mfanyakazi hata wa kima cha kati! Jamaa wanapiga pesa ndefu, ukijifanya msomi na tai yako unaweza kuwaona jamaa kama mafa'la kumbe fa'la ni wewe na tai yako!Maisha ya kuiga mabaya sanaaaa.....in this life, ukijifanya fal.a utafika mbali sanaaaa. I kno people who used to work and earn mishahara midogo tu.....kuna mshkaj wangu flan hvi he used to work in a bank akafanya kazi like 3 years aka quit akaanza shughuli zake za ujasiriamali alianza na ku own jiko kwenye bar maeneo ya sinza akakomaa mwenyewe na kijana aliyemuajiri.
Jamaa alichekwa sana na washkaj zake akakomaa hvyo hvyo, Mungu mkubwa aka expand na majiko mengine mawili kwenye bar sinza huko huko... Jamaa aliniambia live anafanya turnover ya not less than 500,000 tsh kila siku from his businesses navyokwambia ana malizia ujenzi wa nyumba yake tegeta ana plan kuifanya guest house.....sasa mtu wa namna hyo akicheza vizuri na mikopo unafkiri atakua wapi after 5 years ???
Lala posta mkuu
Alaf watu wanashindwaga kujua kwamba sehem ambazo kidogo ziko nnje na mji ndio zenye fursa nyingi kibiashara (emerging business areas) i.e from like kimara to kibaha...or from like tegeta to boko/bunju. If u wanna make good money fanya biashara maeneo hayo utaniambia....hata maeneo ni bei poa ambayo bdae yana appreciate.
Watu wanang'ang'ania town tu. Unakuta mtu analipa rent mpaka million 8 kwa mwaka. Imagine hyo hela ingezunguka in ur business. Daah
pamoja na kutokea mafuriko makubwa miaka nenda miaka rudi ambayo yamewahi kusababisha maafa na pia uharibifu mkubwa wa mali za waathirika lakini hii "serikali sikivu" haichukui hatua yoyote ya kuboresha miundo mbinu ya jiji ili kupambana na tatizo hili ambalo linazuilika. Ukiwaambia uongozi wa nchi umewashinda wanakuja juu. Hawa wanaojiita viongozi watatembelea maeneo yaliyoathirika na kukenua kenua kama vile wamekuja na msaada wa kweli kisha hao wanasepa zao bila lolote la maana kufanywa.
kuuliza si ujinga ni suala la kumfahamisheni.hiv ni mm peke yangu sijakuelewa au na wenzangu
we ni kichwa maji ur an empy basket
Ubovu wa miundombinu unaosababishwa na utawala wa k8fisadi uliopo