Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Kwenye wanaofahamu biashara za hapa mjini, lazima atoe shikamoo kwa mtu mwenye jiko! Nini Sinza, hata ukiwa nalo pande za Temeke bado huwezi kumlinganisha na mfanyakazi hata wa kima cha kati! Jamaa wanapiga pesa ndefu, ukijifanya msomi na tai yako unaweza kuwaona jamaa kama mafa'la kumbe fa'la ni wewe na tai yako!

Nlikua corner bar sinza/kijitonyama siku moja na marafiki tunapiga vyombo (beer) na nyama......usiku kama wa saa 2 au 3 hvi......tukawa tumeface lile jiko from a distance kdgo tukiwa kwenye kunywa na kupiga hadithi na marafiki, mawazo yangu yote nlikua nime focus activities zinazoendelea pale jikoni......aisee wale majamaa wanauza sio kifala....alaf bosi wao yupo pale pale anaangalia vijana wake.....

Kuna mmoja akaniambia wanauza mbuzi si chini ya wa 3 kila siku, bado viazi, mishkaki, kuku....vibarua ni kama wa 3 unawalipa buku 2 au buku 3 daily...rent ni buku 10 kwa siku.....nyingine yote faida alaf huyo mchagga boss wao ana majiko mengine....ubungo, kinondoni, sinza, makumbusho, mwenge.

Jamaa ana supply material viazi, nyama, na pick up yake kwenye hzo biashara plus ana mifugo nnje ya mji. Yule jamaa kwenye hzo biashara tu roughly kwa mwezi hakosi Million 60... Sasa piga hesabu wa mwaka alaf kwa mtu ambaye msomi anayejua finance imagine hyo hela ukaamua wekeza kwenye nyumba za biashara i.e guest house huko huko nnje kidogo ya mji. After 5 years utakua wapi ??

TRA halipi hata 100.
Ajira ni useng* basi tu watu hawajui.
 
tunahitaji kuwa na mipango endelevu hata miundombinu ijengwe kwa tahadhari hiyo. Mfano, daraja la Jangwani lilitakiwa kujengwa kwa kubinuka juu ili kuwezesha maji kupita kwa wingi. Majengo yote yanayojengwa hapo pamija na uwanja wa Kaunda havitakiwi hapo. tuzuie kutupa takataka kwenye mifereji na kutumia takataka kuzalisha nishati badala ya kuzitupa tu.
 
Ifike wakati watu waende nje ya mji, kwani lazima kuonekana unakaa mjini ili hali unaishi kwenye bwawa la maji ya chooni???????? nyumba nyingine ni kinyaa lakini mtu anang'ang'ania hapo hapo kisa yupo karibu na kariakoo ni ujinga huo sasa. hapo serikali ya ccm haihusiki.

Mi naona unaharisha tu hapa.... tazama hizo video hapo juu, na uipime kauli yako....hizo nyumba zingine nimahala ambapo sio mabondeni, ila serikali ya CCM imeuza mpaka sehemu ambazo inajua ni njia ya maji, lakini haikutoa suluhisho mbadala....usipende kukalia vitu vyenye ncha kali wakati unaandika...fanya tathmini kwanza.
 
Kweli polisi wa tanzania hawakupewa wala hawapewi mafunzo ya kulinda raia na mali zao au kuwasaidia raia kwa kufanya hivyo ni dhambi kubwa kwa polisi wa tanzania.
Polisi wa tanzania wamepewa na wanapewa mafunzo ya kuwaadhibu,kuwatesa, kuwanajisi,kuwapiga,kuwapora na kuwaua raia wasio na hatia wakishirikiana na janjaweedi na hassa ikifikia wakati wa uchaguzi.
 
Attachments

  • 1431080753049.jpg
    1431080753049.jpg
    42.2 KB · Views: 265
Hawalijui hilo, nje ya mji ukishindwa maisha ushindwe kwa uvivu wako, kwanza hata maeneo mtu unapata lakukutosha sio vieneo vyakugawana upenuni, binafsi sijaona ubaya wa nje wa mji kwasababu kama shughuli zangu nafanya mjini, nitakuja nitafanya na nitarudi kulala sehemu yenye hewa safi, maji masafi, hakuna buguza hatimaye asubuhi naamkaa mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. wacha waogelee kama dagaa wameamua. hahahhahaha

Msiniquote

Mmmh...besti unatetea hoja yako lakini hutaki changamoto za kukwotiwa tena...hahaha!!!
 
Nlikua corner bar sinza/kijitonyama siku moja na marafiki tunapiga vyombo (beer) na nyama......usiku kama wa saa 2 au 3 hvi......tukawa tumeface lile jiko from a distance kdgo tukiwa kwenye kunywa na kupiga hadithi na marafiki, mawazo yangu yote nlikua nime focus activities zinazoendelea pale jikoni......aisee wale majamaa wanauza sio kifala....alaf bosi wao yupo pale pale anaangalia vijana wake.....

Kuna mmoja akaniambia wanauza mbuzi si chini ya wa 3 kila siku, bado viazi, mishkaki, kuku....vibarua ni kama wa 3 unawalipa buku 2 au buku 3 daily...rent ni buku 10 kwa siku.....nyingine yote faida alaf huyo mchagga boss wao ana majiko mengine....ubungo, kinondoni, sinza, makumbusho, mwenge.

Jamaa ana supply material viazi, nyama, na pick up yake kwenye hzo biashara plus ana mifugo nnje ya mji. Yule jamaa kwenye hzo biashara tu roughly kwa mwezi hakosi Million 60... Sasa piga hesabu wa mwaka alaf kwa mtu ambaye msomi anayejua finance imagine hyo hela ukaamua wekeza kwenye nyumba za biashara i.e guest house huko huko nnje kidogo ya mji. After 5 years utakua wapi ??

TRA halipi hata 100.
Ajira ni useng* basi tu watu hawajui.
Yule jamaa pale Corner Bar acha tu, net anayoingiza yule huwezi kuilinganisha hata na daladala coaster 15... biashara zingine sifa tu na status lakini kuna watu wanapiga hela kwenye biashara za kawaida hadi unaweza kuzimia! Yule jamaa kwa mwezi 60 millioni anavuka, ile sio biashara ya 2 million kwa siku! Kwamba biashara zingine ni sifa tu nilianza kuzishtukiwa wakati nipo Form III! Huu mwaka nilipata ajali kwahiyo miezi sita sikwenda skul! Sasa c unajua tena, anakuja huyu pole, anakuachia 200/- enzi zile, anakuja huyu anakuachia jero! Mtu mwenyewe nipo kitandani, pesa situmii! Nakuja kupata uwezo wa kuinuka na kutembea kidogo, nakuta kibubu kimetuna; nikaona isiwe taabu, ndani kuna chupa tupu za soda kibao, zimekaa tu; mzee nikaanza biashara ya soda! Nikaanza biashara ya soda nyumba iliyojaa watoto watukutu! Basi ilikuwa mtu akini-time na kuiba soda moja tu, basi hilo crate limeshaingia kwenye hesabu ya hasara!! Huko nje totoz zikawa zinanipa heshima, nashusha crate za soda bwana wakajua nishakuwa boss mtoto kumbe kila siku ilikuwa ni kulia maumivu unaombea usiibiwe soda hata moja au kuvunjika! Sasa kuna mchizi, na yeye mtoto mwenzangu sema mambo ya shule alishasamehe kitambo! Huyu mchizi nae alikuwa na jiko lake jirani na ni sehemu ya kawaida sana, amejitahidi sana anauza plastic mbili kwa siku na yeye ndo alikuwa ananiletea wateja wa soda! Sasa ingawaje mie ndo nilikuwa napata heshima kuliko yeye (mmoja analeta bidhaa na gari na mwingine na mkokoteni wapi na wapi!!!) kuna siku tumetulia hivi tukaanza kupiga hesabu pale kwenye kiwanja chake; unaambiwa aibu! Hapo hapo nikaachana na biashara za sifa za soda nikaanza biashara ya kukamua juice!!

Halafu uzuri wa hizi biashara zinazoonekana kama namna gani vipi, yaani ni full privilege! Ndo kama hivyo tena; unakuta mtu anaingiza M kadhaa lakini hata leseni ya biashara hana na hakuna anayemuuliza!
 
Mi naona unaharisha tu hapa.... tazama hizo video hapo juu, na uipime kauli yako....hizo nyumba zingine nimahala ambapo sio mabondeni, ila serikali ya CCM imeuza mpaka sehemu ambazo inajua ni njia ya maji, lakini haikutoa suluhisho mbadala....usipende kukalia vitu vyenye ncha kali wakati unaandika...fanya tathmini kwanza.

Hivi ungeandika bila kutukana ungekufa????? m- senge wewe, unapuliwa kisogoni kisha unakuja na kauli za kipumbavu kwangu, jiangalie ma nina. Nimekuheshimu mmmbwa wewe
 
Hizi ndizo athari za kujenga miji hovyo. Vibali vya ujenzi wa nyumba na makazi vinatolewa ovyo pasipo kwanza serikali kuhakikisha kuna njia kuu za maji machafu zimepitishwa. Kama serikali ingeweza kujenga njia kuu za majitaka chini ya ardhi, kwa kila barabara kuu zote za Dar na miji yetu, mafuriko yangekuwa ya kawaida kabisa na ya muda mfupi.

Hata nyumba zetu, tuache mila za kujenga nyumba ukaweka njia ya majitaka yanayotoka majumbani tu, tukasahau kwamba ujenzi wa nyumba hutanguliwa na mazingira yako na kwamba kuna swala la mvua kama sii leo kesho, maji yake yatakwenda wapi?
 
Unamchokoza tumbili we haya we mimi simo!
attachment.php

jana alikuwa kwa Mwanry kule Siha na G/Lema
hapo ataibua Escrow nyingine ya miundo mbinu mabilioni ya ukarabatu barabara na miundo mbinu
 
Mmmh...besti unatetea hoja yako lakini hutaki changamoto za kukwotiwa tena...hahaha!!!

Hahahahaha!!!!!!!!!! best sina mood yakumjibu mtu, nishavurugwa na mvua hii. maana naona imejiunga kifurushi cha wiki cha university, sijui itakata lini.
 
mafuriko yanawakumba wanaongangania kukaa centre ya jiji lakin wanje ya jiji hakuna cha mafuriko wala nini huku
 
kutokana na matatizo ya mafuriko ambayo yanendelea kutokea katika mkoa wa dar rais anatakiwa kutafuta suluhisho la hili tatizo maana suala hili limekuwa ni suala la kawaida. ikumbukwe ya kuwa ni mwaka wa pili mfululizo maafuriko kutokea kwa jiji la dar na yamekuwa yakiacha maafa makubwa kwa wanachi wa dar na tanzania kwa ujumla. lakini hadi sasa kinachaoongelewa ni kuwaambia wananchi kutoka maeneo ya mabondeni. sasa watu wameshatoks katika maeneo ya mabondeni lakini hadi leo maafa yameendela kutokea. kwa ushauri wangu serikali inatakiwa ifanye upya ukarabati wa miundombinu
 
Yule jamaa pale Corner Bar acha tu, net anayoingiza yule huwezi kuilinganisha hata na daladala coaster 15... biashara zingine sifa tu na status lakini kuna watu wanapiga hela kwenye biashara za kawaida hadi unaweza kuzimia! Yule jamaa kwa mwezi 60 millioni anavuka, ile sio biashara ya 2 million kwa siku! Kwamba biashara zingine ni sifa tu nilianza kuzishtukiwa wakati nipo Form III! Huu mwaka nilipata ajali kwahiyo miezi sita sikwenda skul! Sasa c unajua tena, anakuja huyu pole, anakuachia 200/- enzi zile, anakuja huyu anakuachia jero! Mtu mwenyewe nipo kitandani, pesa situmii! Nakuja kupata uwezo wa kuinuka na kutembea kidogo, nakuta kibubu kimetuna; nikaona isiwe taabu, ndani kuna chupa tupu za soda kibao, zimekaa tu; mzee nikaanza biashara ya soda! Nikaanza biashara ya soda nyumba iliyojaa watoto watukutu! Basi ilikuwa mtu akini-time na kuiba soda moja tu, basi hilo crate limeshaingia kwenye hesabu ya hasara!! Huko nje totoz zikawa zinanipa heshima, nashusha crate za soda bwana wakajua nishakuwa boss mtoto kumbe kila siku ilikuwa ni kulia maumivu unaombea usiibiwe soda hata moja au kuvunjika! Sasa kuna mchizi, na yeye mtoto mwenzangu sema mambo ya shule alishasamehe kitambo! Huyu mchizi nae alikuwa na jiko lake jirani na ni sehemu ya kawaida sana, amejitahidi sana anauza plastic mbili kwa siku na yeye ndo alikuwa ananiletea wateja wa soda! Sasa ingawaje mie ndo nilikuwa napata heshima kuliko yeye (mmoja analeta bidhaa na gari na mwingine na mkokoteni wapi na wapi!!!) kuna siku tumetulia hivi tukaanza kupiga hesabu pale kwenye kiwanja chake; unaambiwa aibu! Hapo hapo nikaachana na biashara za sifa za soda nikaanza biashara ya kukamua juice!!

Halafu uzuri wa hizi biashara zinazoonekana kama namna gani vipi, yaani ni full privilege! Ndo kama hivyo tena; unakuta mtu anaingiza M kadhaa lakini hata leseni ya biashara hana na hakuna anayemuuliza!

Tatzo la hawa wafanya biashara wana lack financial literacy ndio maana wanapiga hela nyingi lakini hawa grow/expand. They shud focus on building fixed assets with their current earnings which are likely to generate future cashflows.

Plus ni vyema sanaaa kujenga credit score ukiwa unakopa na kurudisha hata kama mtaji unao......kuna siku unaweza pewa mikopo mikubwa uka finance huge and rapid business expansions muhimu ku build and develop fixed assets now plus kuanza na mikopo mdogo mdogo.

Biashara hzi hzi zinazo dharauliwa unazi run kisomi sasa.....moto wake ukiwaka ni balaa....imagine uki own chain ya magenge ya vyakula kama 15 hapa dar......do u have any idea tha turn over utakayokua unafanya ?? Utashangaa unashusha fuso zima la nyanya una supply in ur groceries. Challenges zipo najua ila its worth it.
 
Hivi ungeandika bila kutukana ungekufa????? m- senge wewe, unapuliwa kisogoni kisha unakuja na kauli za kipumbavu kwangu, jiangalie ma nina. Nimekuheshimu mmmbwa wewe
Lady,nikweli kajibu vibaya jamaa,ila nahisi ungemjibu kiungwana.
Unajua kuna watu humu akili zao zimekaa ki Siasa siasa kwenye kila kitu.Sasa hata uwaambie vipi wao ni kulaumu tu.na huo ndio uwezo wao wa kufikiri,yaani kila jambo badala ya kufikiria kwanza yeye amekaririshwa tu.
Leave them,watasoma alama za nyakati wakiishakuwa wazee
 
Hahahahaha!!!!!!!!!! best sina mood yakumjibu mtu, nishavurugwa na mvua hii. maana naona imejiunga kifurushi cha wiki cha university, sijui itakata lini.

Pole. Mvua ni baraka tu. Sema zikizidi inakuwa tabu coz hata shughuli za kiuchumi zinapwaya kiaina.
 
mafuriko yanawakumba wanaongangania kukaa centre ya jiji lakin wanje ya jiji hakuna cha mafuriko wala nini huku

Kumbuka hapo unapopaita nje ya mji patakuja kujaa kama huko "center ya jiji". Na bahati mbaya huko "nje ya mji" kumejengwa kiholela, hakujapangika na kinaongezeka kwa kasi, kwa hiyo baada ya miaka 20-30 huko "nje ya mji" napo kutakuwa "center ya jiji" na madhara yatakuwa hayo hayo...
Ukifikiri outta box utaona kuwa huko nje ya jiji nakwo kunasubiri tu miaka kadhaa ili hali hii ya center ya jiji ifike huko.
 
Lady,nikweli kajibu vibaya jamaa,ila nahisi ungemjibu kiungwana.
Unajua kuna watu humu akili zao zimekaa ki Siasa siasa kwenye kila kitu.Sasa hata uwaambie vipi wao ni kulaumu tu.na huo ndio uwezo wao wa kufikiri,yaani kila jambo badala ya kufikiria kwanza yeye amekaririshwa tu.
Leave them,watasoma alama za nyakati wakiishakuwa wazee

Kweli nimejilaumu sana na mimi baada ya kumjibu, nakiri nimefanya kosa, lakini humu kuna watu wanapenda kutumia lugha zisizo na stahakiasi kunawakati mtu unashindwa kuvumilia, mtu kama anaona nilichocomment mimi hakijampendeza mtu ni vema akapita kimya au na yeye aweka comment yake chini ukiwa anasimamia mtazamo wake kuliko kutukana, hivi vitoto vya kiume vinamatatizo sana aisee.
 
Back
Top Bottom