Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

kwa kweli tangu jana asubuhu mpaka usiku huu wa saa 11:53 mvua inanyesha

Lakin huku salama sema barabara hazipitiki kabisa

vipi hapo ulipo usiku huu mvua bado zinanyesha?
mmelala au mnatoa maji ndan
 
MACCM nambari oneeeeee, Dar Tambarareee


kwa kweli tangu jana asubuhu mpaka usiku huu wa saa 11:53 mvua inanyesha

Lakin huku salama sema barabara hazipitiki kabisa

vipi hapo ulipo usiku huu mvua bado zinanyesha?
mmelala au mnatoa maji ndan
 
67ee6.jpg
 
Kiongozi wa nchi bado anakula bata majuu. Kwanini asikatishe ziara ili kuja kwenye maafa makubwa nchini Dar na Unguja?
 
Mafuriko jamani
 

Attachments

  • 1431049261548.jpg
    1431049261548.jpg
    33.4 KB · Views: 411
  • 1431049285928.jpg
    1431049285928.jpg
    41.3 KB · Views: 404
  • 1431049309368.jpg
    1431049309368.jpg
    87.3 KB · Views: 407
  • 1431049333760.jpg
    1431049333760.jpg
    68.2 KB · Views: 412
Kipindi maalum kuhusiana na mafuriko nchini mwetu. Sikiliza ukiweza.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa mkoa aliposema tokeni mabondeni nendeni Mabwepande,walimjibu hatuhami ng'o...sasa ndoo haya..poleni lakini
 
Ifike wakati watu waende nje ya mji, kwani lazima kuonekana unakaa mjini ili hali unaishi kwenye bwawa la maji ya chooni???????? nyumba nyingine ni kinyaa lakini mtu anang'ang'ania hapo hapo kisa yupo karibu na kariakoo ni ujinga huo sasa. hapo serikali ya ccm haihusiki.

Alaf watu wanashindwaga kujua kwamba sehem ambazo kidogo ziko nnje na mji ndio zenye fursa nyingi kibiashara (emerging business areas) i.e from like kimara to kibaha...or from like tegeta to boko/bunju. If u wanna make good money fanya biashara maeneo hayo utaniambia....hata maeneo ni bei poa ambayo bdae yana appreciate.
Watu wanang'ang'ania town tu. Unakuta mtu analipa rent mpaka million 8 kwa mwaka. Imagine hyo hela ingezunguka in ur business. Daah
 
Kujenga katika mabonde na michirizi ya maji pia ni tatizo la serikali kushindwa kusimamia vizuri miundo mbinu, hawa wananchi masikini sana, serikali haina uwezo wa kuwapatia makazi bora basi ingeliweka utaratibu wa kutoa maeneo ya Makazi kwa wananchi kwa bure au kwa fedha ya chini, lakini kutokana na Rushwa hata maeneo wakitoa wanachukua wao viongozi na familia zao na baadae kuwauzia wananchi kwa mamilioni, hahe hohe kama wananchi hao wataweza wapi? Kuna kila sababu serikali kuutupia lawama.
Visingizio kama hivyo ndo vinawafanya watu waendelee kuwa wapumbavu, eti wananchi ni maskini sana? Are you serious? Au unazungumzia umaskini wa akili? Hivi mtu unatakiwa kuwa tajiri kufahamu kutupa takataka kwenye mitaro kunasababisha mitaro kuziba? How much do you need to have in your bank account to know this simple truth?Wale wanaokaa Pugu, Mbagala, Charambe, Chamanzi, Kimara juu juu kule. Chanika and the like ni matajiri wale? Serikali itoe makazi ya bure, are you serious? Hapa Dar es salaam utawapa makazi ya bure wangapi? Acheni excuses zisizo na maana sana sana mnawafanya wazidi kuumia manake na wao bila aibu, utawasikia "hatutoki, wakitaka serikali itutafutie pa kwenda...!" very stupid! Mijitu imekaa mkao wa kutaka kusaidiwa saidiwa tu! Ikiwa mtu aliweza kupanga chumba Jangwani au Kigogo kwanini ashindwe kupanga chumba Mbagala? Na ikiwa hawezi, kwani lazima aishi Dar es salaam? Mimi mwenyewe zamani nilikuwa naishi Kinondoni, nikapata msuko msuko wa maisha nikahamia Kurasini na nikipata mwingine zaidi nitahamia hata Mbagala; sasa kwanini ionekane wale waliopo mabondeni ndo basi tena hakuna suluhisho lolote kwa kigezo cha umaskini? Watu kama nyinyi hata mkipata madaraka serikalini ndio mtawafanya wapumbavu kama wale waendelee kuota kama uyoga kwa kuwa mtashindwa kutekeleza matakwa yao na hivyo kuamua kuwaacha tu kwa kigezo cha umaskini badala ya kuwatimua wahame mabondeni hata ikibidi kwa virungu!
 
Pole kwa wahanga wa mafuriko,
 

Attachments

  • 1431054199477.jpg
    1431054199477.jpg
    42.8 KB · Views: 566
1. Ni Serikali hiyo inajaza uchafu mitaro na kusababisha mitaro kuziba na hivyo kuzuia maji kupita?

2. Uwepo wa maofisi na huduma za jamii sehemu moja, Posta na Kariakoo, (kulingana na maneno yako) kunasababishaje mafuriko Dar es Salaam? Kuna kambi gani ya jeshi (JWTZ au JKT) mjini?

3. Wewe mwananchi unakubalije kujenga au kupewa kibali cha ujenzi sehemu ya njia ya maji?






Dinazarde & BAK


we ni kichwa maji ur an empy basket
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Alaf watu wanashindwaga kujua kwamba sehem ambazo kidogo ziko nnje na mji ndio zenye fursa nyingi kibiashara (emerging business areas) i.e from like kimara to kibaha...or from like tegeta to boko/bunju. If u wanna make good money fanya biashara maeneo hayo utaniambia....hata maeneo ni bei poa ambayo bdae yana appreciate.
Watu wanang'ang'ania town tu. Unakuta mtu analipa rent mpaka million 8 kwa mwaka. Imagine hyo hela ingezunguka in ur business. Daah
Watu wengine wanapenda sifa! I remember old friend of mine! Huyu bwana tulikuwa tunafanya kazi ofisi moja maeneo ya Temeke! Kimsingi, my pay grade ilikuwa kubwa kuliko ya kwake lakini kubwa zaidi, mbali na mshahara, mie nilikuwa na mishe mishe zangu binafsi wakati mchizi alikuwa anategemea mshahara peke yake! In those old days, nilikuwa naishi Kinondoni lakini baada ya kupata ofisi Temeke, nikalazimika kuhamia Kurasini! Look, mchizi alikuwa amepanga Mikocheni, kodi aliyokuwa analipa ni mara tatu ya ile niliyokuwa nalipa mimi lakini ilikuwa majira kama haya, mchizi anahamia kwa kaka ake Chang'ombe Maduka Mawili manake huko Mikocheni alikokuwa anaishi ni full majanga mvua zikinyesha!
 
Back
Top Bottom