Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Pole. Mvua ni baraka tu. Sema zikizidi inakuwa tabu coz hata shughuli za kiuchumi zinapwaya kiaina.

We acha tu, hali ya kiuchumi ndio natetereka haswaa, hasa mie muuza maji ya viroba ndio basi tenaaaaaaaaaa, natamani nianze kuuza miavuli lakini watu wa Dar miavuli haiwasaidii kabisaa.
 
Tatzo la hawa wafanya biashara wana lack financial literacy ndio maana wanapiga hela nyingi lakini hawa grow/expand. They shud focus on building fixed assets with their current earnings which are likely to generate future cashflows.

Plus ni vyema sanaaa kujenga credit score ukiwa unakopa na kurudisha hata kama mtaji unao......kuna siku unaweza pewa mikopo mikubwa uka finance huge and rapid business expansions muhimu ku build and develop fixed assets now plus kuanza na mikopo mdogo mdogo.

Biashara hzi hzi zinazo dharauliwa unazi run kisomi sasa.....moto wake ukiwaka ni balaa....imagine uki own chain ya magenge ya vyakula kama 15 hapa dar......do u have any idea tha turn over utakayokua unafanya ?? Utashangaa unashusha fuso zima la nyanya una supply in ur groceries. Challenges zipo najua ila its worth it.

Samahani naomba kuuliza mimi ni mgeni hapa,hivi hii post inahusu mafuriko dsm au biashara??am confused iwe bojo.
 
Mtu na akili zako unakaa kwenye Kingo za mto pita Kawawa Road pale Bonde la kigogo,nyumba zipo kwenye kingo za mto halafu watu kama wale waanze kuilaumu serikali? Wale wanajitakia wenyewe.Kila nikizitazama zile nyumba huwa siwaelewi kabisa wale watu.Serikali nailaumu sehemu moja.Inakuaje maeneo kama yale yawe na huduma za maji.na Umeme?


Je anakuwaje na "Building Permit" kibali cha kujenga nyumba? na pia hulipa kodi ya kiwanja kila mwaka? Kuna serikali ya mtaa pale inayotambulika Mkoani, hapo utasema je?
 
mtu ukianza ujenzi, Lazima uhakikishe kuwa hakuna bonde, wala sio sehemu ya barabara ya maji (mafuriko).
 
Tanzania imefika hapa tulipo Kwa uongozi mbovu wa Ccm


Kuna mitaa ambayo serikali ingepiga marufuku watu kuweka makazi, lakin watz ni watu wa kusahau haraka sana

Siku zote serikali inapiga vita ujebzi wa mabondeni na katika njia za maji, tatizo watu ni wabishi na wajuaji sana. Leo wewe unasema serikali haijishughulishi vya kutosha katika kuhakikisha ujenzi haufanyiki mabondeni, lakini ikitangaza kuwa inaanza kubomoa nyumba zote zilizojengwa mabondeni, mtabadilika tena na kuanza kuhoji hatua inazochukua dhidi ya ujenzi huo wa holela.
 
Pamoja na kutokea mafuriko makubwa miaka nenda miaka rudi ambayo yamewahi kusababisha maafa na pia uharibifu mkubwa wa mali za waathirika lakini hii "Serikali sikivu" haichukui hatua yoyote ya kuboresha miundo mbinu ya jiji ili kupambana na tatizo hili ambalo linazuilika. Ukiwaambia uongozi wa nchi umewashinda wanakuja juu. Hawa wanaojiita viongozi watatembelea maeneo yaliyoathirika na kukenua kenua kama vile wamekuja na msaada wa kweli kisha hao wanasepa zao bila lolote la maana kufanywa.








flood1.jpg
25407961_BG2.jpg
CD75vOiW0AAWA3q.jpg
1100494_G.jpg
image
images
images
images
images
images

Nisingependa kuilaumu sana serikali kwa mafuriko, maana tujuavyo miji yo yote duniani miundombinu ya maji safi na maji taka yapo limited kwa matumizi ya kawaida na wala si kwa kukabiliana na mafuriko. Picha hapo juu zinaonyesha mmoja ya jiji nchini Marekani lilivyozama majini tokana na mafuriko, na baada ya mafuriko majengo makubwa yamezidi kumea eneo la mabondeni ambalo lilikuwa affected na mafuriko. Hili kwa bongo tungetokeza mishipa usoni kulalamikia serikali.

Ujenzi mabondeni vigumu kuepukika na po pote serikali duniani huruhusu on their own risk. Kinachofanyika wakati wa mafuriko kusaidia waathirika ni humanitarian. Pengine ni bora kuwe na makazi ya watu maeneo hayo kiusalama kuliko kubaki vichaka vya vibaka matokeo twayajua kwa usalama wa raia na mali zao hali kadhalika usalama wa nchi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
774NashvilleTennesseeToJoinSuperTallClub_pic1.jpg
2Q==
Screen+Shot+2012-10-31+at+10.23.07+PM.png
100401-11.jpg
FeaturedListings_1380x1380.jpg
Screen%20Shot%202013-11-26%20at%2012.32.12%20PM.png
SkyHouse.png
Screen%20Shot%202012-08-01%20at%201.08.55%20PM.png
Nashville_SE.jpg


Haya ni majengo mapya yaliyooteshwa na yanazidi kujengwa ndani ya miaka mitano tangu mafuriko makubwa yalikumbe jiji hili la Marekani, majengo hayo yote yamejengwa maeneo ambayo yalikuwa yameathirika kwa mafuriko.
 
Na kati kati ya mji kunakokuwa na mafuriko yale maghorofa yalijengwa kiholela na Wananchi? Acheni kutetea hoja uzembe na ukosefu wa sera? Kule msasani kwenye mafuriko mbona zile nyumba zimejengwa kwa kibali cha Serikali na bado kuna mafuriko? Ni aje?

sio bure utakuwa chadema wewe, hakuna post yako hata moja ukakosa kulaumu serikali. Bonge la mlalamishi.
 
DSM hacheni uzinzi Mungu hapendi tabia hizo, anaisogeza bahari ya hindi taraatibu, itawafunika! mtubu dhambi zenu...dadeki.
 
Kwahiyo sheria huwezi kuwapata na hatia unless izungumze vinginevyo! Mtu anaweza kukuambia hata kuogelea nako kunahatarisha maisha ya mtu; je itumike hiyo sheria kuwapeleka mahakamani watu wanaoogelea? Wajibu wa serikali ni kutoa tahadhali na pale inapobidi kutumia hata nguvu lakini wananchi wenyewe nao wanatakiwa kuwa responsible na maisha yao badala ya kuwasikiliza wanasiasa! Wanasiasa walivyo wapumbavu usishangae kukuta kuna wengine wanaenda pale na kuwaambia msitoke hadi serikali iwaoneshe mahali pengine pa kujenga utafikiri hapo walioneshwa na serikali huku wakisahau kwamba yakija mafuriko wanaoumia ni wao![

/
hasante, mkuu kwa tatizo hili la kuishi mabondeni kama pale jangwani naona serekali inatakiwa ifanye kitu zaidi ya kuwashawishi kwa maneno, wapuuzi kama wale wanao kataa kuhama alafu wakumbwapo na matatizo wanarudi na kuitaka selekari iwasaidie!,ikibidi hata sheria dhidi yao itungwe kama kwa sasa haipo, ni vyema ikamhusisha hata huyo anaye watetea. Nikuulize kidogo, kuna kipindi pale jangwani walipewa viwanja na vifaa vya ujenzi kule Mabwe pande,ilikuwaje wakarudi?,inakuwaje nguzo za umeme na maji viwafikie?,huu sio uzembe wa serekali kweli?
 
Tatzo la hawa wafanya biashara wana lack financial literacy ndio maana wanapiga hela nyingi lakini hawa grow/expand. They shud focus on building fixed assets with their current earnings which are likely to generate future cashflows.

Plus ni vyema sanaaa kujenga credit score ukiwa unakopa na kurudisha hata kama mtaji unao......kuna siku unaweza pewa mikopo mikubwa uka finance huge and rapid business expansions muhimu ku build and develop fixed assets now plus kuanza na mikopo mdogo mdogo.

Biashara hzi hzi zinazo dharauliwa unazi run kisomi sasa.....moto wake ukiwaka ni balaa....imagine uki own chain ya magenge ya vyakula kama 15 hapa dar......do u have any idea tha turn over utakayokua unafanya ?? Utashangaa unashusha fuso zima la nyanya una supply in ur groceries. Challenges zipo najua ila its worth it.
Umezungumza jambo la msingi sana. Mtu kama yule wa Corner Bar kama angeendesha biashara huku akiwa na uwezo wa biashara za kisasa and desire in expansionism, ndani ya miaka mitano angekuwa anazungumzia biashara zingine kubwa kubwa na hata kama kwenye similar line of business basi tungesema ndani ya huo muda angeweza kuwa hata na hotel za kuheshimika!
 
Acha ujinga wewe! Hata Wafadhili watakuwa CHADEMA kwa kugoma kuendelea kutoa mabilioni yao Serikalini kutokana na wizi na ufujaji mkubwa wa pesa. Kinana na Nape nao ni CHADEMA kila wanaposhinikiza Mawaziri mizigo watimuliwe. Tuwekee mazuri unavyoyajua wewe Buku 7.



sio bure utakuwa chadema wewe, hakuna post yako hata moja ukakosa kulaumu serikali. Bonge la mlalamishi.
 
Back
Top Bottom