Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,376
- 5,020
Madhara ya Chips yai ni mafuta yanayotumika kutayarishia chipd zenyewe, lile ya kuku wa kizungu labda, kinyume na hapo chips ni viazi kama viaza vingine ambavyo tunavila kwa kupika au kwa utarishaji mwingine. Chips kukosesha nguvu ya tendo la ndoa, ni kweli ila sio tatizo la kudumu ni la siku ile tu uliyoifanya chips kuwa chakula chako, kipimo kile cha chips huwezi kula mtu unaenda kufanya ngumu, tabia chips zinayeyuka mapema sana hazikai tumboni. Usitegemee ukiwa una hali ya njaa, uende kwenye tendo lile hakika hutopaform.