Madhara yatokanayo na ulaji chips


L

LOMBOGO

New Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
2
Points
0
L

LOMBOGO

New Member
Joined Oct 13, 2012
2 0
JF Doctor, naomba unifafanulie ni jinsi gani chips inamwathiri mwanaume na madhara hayo ni yapi na solution yake ni ipi?

 
NIGGA

NIGGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Messages
1,255
Points
1,250
NIGGA

NIGGA

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2013
1,255 1,250
Ukila sana chips perfomance inakuwa poor sana,goli moja halijai hata kwenye kizibo cha soda
na ukishapiga goli moja chali mpaka asubuhi:majani7:
 
Zasasule

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Messages
1,007
Points
1,195
Zasasule

Zasasule

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2009
1,007 1,195
Chips zina mafuta. Na mojawapo ya sehemu mafuta(fats) zinapohifadhiwa ni around the heart.. Pia kutoka m.a..t..a.k.o Ukila saana inasababisha m.a.t.a.k.o kuwa makubwa.. So kama huwezi kuacha kabisa bac kula atleast once per week! Mimi binafc chips kula ni nadra saana.. I can say once per month!
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
7,405
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
7,405 2,000
Mie nina mwaka tokea niachane nazo,nilihisi perfomance yangu inashuka nikastuliwa kuwa chipsi zinachangia,ila yawezekana kuna ukweli maana tokea niziache niko fiti sana.
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,317
Points
2,000
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,317 2,000
chipsi hizi hizi? au hata nikila mihogo ya kukaanga je?
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
Hapana, chips kama chips hazina shida hizo. Shida ni hizo chill sauce na tomato sauce mnazonyunyiza juu yake ndo huleta upungufu wa nguvu za kufanya kazi, huwa mnasoma vibandiko vya hizo chill sauce na tomato sauce mkajuwa ni vitu gani vinatumika kuzihifadhi zisiharibike?. Kula chips na kachumbari nzuri na ya kutosha ni kinga pia kwa magonjwa kadhaa.
 
Zasasule

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Messages
1,007
Points
1,195
Zasasule

Zasasule

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2009
1,007 1,195
Chips kinga? Viazi vilivyokaangwa?kweli kuna kirutubisho hapo? Hyo kachumbari ndo itakuwa inavirutubisho if kama itakuwa imeandaliwa vzuri,la sivyo inaweza ikakusababishia minyoo..
 
S

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Messages
304
Points
500
Age
29
S

sonofobia

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2015
304 500
Nimesikia chombo fulani cha habari kikipromoti chakula maarufu kwa watu wa mjini yani Chips Mayai. Lazima nikiri zamani sikuwai kujua chips Mayai ni utamaduni wetu kabisa watanzania nilifikiri ni chakula cha kizungu.

Ila kuna maswali imebidi ni jiulize;

Nani aliyekuja na ubunifu wa chips Mayai? Kwanini hiki chakula kimekuwa maarufu sana?

Pamoja na kutoa ajira nyingi sana kwa vijana ni fursa gani zaidi zimetengenezwa na chips Mayai kwa jamii? Nini faida ya chips Mayai mwilini?

Nini madhara ya chips Mayai? Kwa nini watu upenda zaidi zege lililotayarishwa na wapemba? Kwa nini wapika chips wengi ni wanaume? Na kwa nini zege likipikwa na mwanamke linadoda?

1464784260511-jpg.352686
 
Hoshea

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,214
Points
2,000
Hoshea

Hoshea

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,214 2,000
Nasikia chips yai ni invention ya kibongo, kuna wageni hukishangaa alafu wanajifunza wanaenda ringishia makwao, wanasema piza ya yai mixture viazi, dah ila kitamu sana aisee, ukipata yule anajua pika fresh walahi kama hujala siku mingi upo katika risk ya kujing'ata.
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,353
Points
2,000
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,353 2,000
Zama zinabadilika kila uchao...

Zamani wazee wetu walikuwa wanakula mtama umechanganywa na ulezi, hio ikapita.

Wakaja wakoloni wakaleta muhogo toka Amerika ya Kusini, mtama na ulezi vikapunguza umaarufu, wazee wetu waliwashangaa sana watu wa kizazi chao kwa kukumbatia muhogo na kuacha mtama na ulezi wakasahau kuwa hata wao waliacha kula mizizi na matunda wakakumbatia mtama na ulezi.

Baadaye yakaingia mahindi kutokea huko huko kwa mkoloni, watu wakaacha muhogo wakachangamkia mahindi, wazee wa wakati huo wakawashangaa sana kwa nini kuacha muhogo kukumbatia mahindi "vyakula vya watu weupe visivyo na faida mwilini"??.

Baadaye ukaingia mchele, wazee wanaokula mahindi wanawashangaa sana wanaoukumbatia mchele kwa kuwa ni "chakula cha kuja".

Sasa ulaji wa chipsi unaingia kwa kasi kama vile ambavyo vingine viliingia kwa kasi na watu wakashangaa pia kwa nini watu kukumbatia "mavyakula ya wazungu".

Ni zama tu zinabadilika mkuu, baadaye tutaingia kwenye ngano na mavyakula ya makopo na watu watapuzia chipsi pia.

Madaktari wamejikita kueleza madhara ya chipsi badala ya kutueleza na faida zake pia, haya ni madhaifu makubwa sana katika kuleta judgement ya kitu, huwezi kusikia one sided story peke yake.

Zama mpya zinakuja, za zamani zinapotea, lakini all in al hakuja jipya chini ya jua.

Vijana kuleni kiepe yai, kwa kuwa hizi ni zama zenu.
 
mkomatembo

mkomatembo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Messages
1,478
Points
2,000
Age
61
mkomatembo

mkomatembo

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2011
1,478 2,000
Ni Chakula cha WANAUME WA BARA! ambao huvamia jiji la Dar es salaam! badala ya kula vyakula vya wenyeji wa jiji hili la Pwani wao hukimbilia Chips Mayai! Baada ya muda tu mambo yanaharibika!
 
Pritty wa joseph

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Messages
2,423
Points
2,000
Age
25
Pritty wa joseph

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2014
2,423 2,000
Chips zege....chakula changu pendwa,naweza kula Hata mwezi mzima bila kukinai.

Ila naskia kwa wanaume inawapa low performance in bed na ukikutana na shangingi lenye Ugwadu unapewa redcard
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,668
Points
2,000
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,668 2,000
Kwa sisi wanaume wa mikoani chakula chetu ni Nyama choma na ugali pamoja na mboga ya majani kwa pembeni, Nyama choma inakuwa imejaa kwenye sahani na kaugali kidogo, ukila finyango tatu na pilipili ndiyo unakula tonge moja la ugali
 
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,309
Points
2,000
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,309 2,000
Hii kitu ni noma unakula daily lakini hauchoki, bei nzuri. Tatizo tunazidi kunenepa!
 
F

filonos

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Messages
651
Points
225
F

filonos

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2011
651 225
Chipsi yai hata Europe hawajui chips yani na chakula kiku cha South America Aswa Nicaragua ...Guatamara kidogo Paragwai hao mdio mlo wao mkuu Bongo ilianza kuingia hiyo Style kwenye miaka ya 1980 baada ya watanzani wengi wakati ule walikua wana ludi kwenye Ubaharia ndio ilianza Dar na Tanga pale Majestic na mbowe Dar na kuanza kuenea mitaani lakini nyuma ya hapo Wa TZ.walikua hawajui CHIPIS YAI...iliku viazi kwenye mchuzi na nyama na wakati huo viazi hakua na Soko kama sasaivi kila mji TZ wanajua CHIPS YAI
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
14,115
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
14,115 2,000
Kiepe for life, nmetoka kwa mpemba kujitia kikiepe kuku recently, usipime bobu..mixa ukwaju mixa pilipili..Happy besdei to mie!
ONYO: KULA. KIEPE KISTAARABU, UKIFANYA MASIHARA UTAGONGEWA OHOOO!!!
 

Forum statistics

Threads 1,284,024
Members 493,932
Posts 30,809,958
Top