Madhara yatokanayo na ulaji chips

Hakuna sehemu hapa africa mashariki na kati wanatengeza kiepe kimeenda shule kama mgahawa wa Sizzler,rockcity
 
IMG-20160601-WA0034.jpg


IMG-20160601-WA0035.jpg


IMG-20160601-WA0036.jpg


Asanteni kwa kuja
 
Nilikuwa sauzi mwaka jana aisee niliteseka sana kule chips yai hakuna siku nimerudi nimetua airport brake ya kwanza mlimani City nikaagiza sahani tatu kwa hasira hii kitu ipo Tanzania tu
Hahahaaa South wana poko flan amazing wanapakaga sijui asali dahh ni balaaaa
 
Arusha na moshi kuna chips zinapikwa kwa mfumo wa VURUGA, yaani chips yai changanya pamoja na nyama ya kuku, ni kitamu sana. Hala hala kitambi mdebwedo
mkuu sio VURUGA ni "MVURUGO" hio ni zaidi ya balaa, niko Moshi muda mwingi nakula hio niaje na MITURA moshi patam sana
 
Lakini mmeona Matokeo yake *overweight * na obesity Za ajabu unakuta dada mzuri Lakini ana tumbo la ajabu siku hizi pressure na kisukari ni zaidi ya malaria
 
Believe it or not ata hao wazungu wenyewe chips mayai wanazionaga wakija Tz. Once niliwa introduce wazungu flan kwa chips mayai and they where like "did you say chips in my eye?"
 
Hakuna sehemu hapa africa mashariki na kati wanatengeza kiepe kimeenda shule kama mgahawa wa Sizzler,rockcity
Ukisema hivyo na mie nitakwambia hakuna kiepe kikali kama kinachoundwa pale Naseeb's iliopo mjini Moshi pale karibia na msikiti wa riadha! Mishkaki yake ndio dah,na zile pizza mwitu ni kisanga,,, kweli pwani ndipo mapishi yalipozaliwa!
 
Nimesikia chombo fulani cha habari kikipromoti chakula maarufu kwa watu wa mjini yani Chips Mayai.

Lazima nikiri zamani sikuwai kujua chips Mayai ni utamaduni wetu kabisa watanzania nilifikiri ni chakula cha kizungu.


Ila kuna maswali imebidi ni jiulize

Nani aliyekuja na ubunifu wa chips Mayai?

Kwa nini hiki chakula kimekuwa maarufu sana?

Pamoja na kutoa ajira nyingi sana kwa vijana ni fursa gani zaidi zimetengenezwa na chips Mayai kwa jamii?

Nini faida ya chips Mayai mwilini?

Nini madhara ya chips Mayai?

Kwa nini watu upenda zaidi zege lililotayarishwa na wapemba?

Kwa nini wapika chips wengi ni wanaume? Na kwa nini zege likipikwa na mwanamke linadoda?

View attachment 352686
Hichi ni chakula cha wanaume wa dar...Teh Teh...
 
Ndio mana kila siku watu wanalalamika nguvu za kiume, karibuni uku Mtimbwilimbwi ni mwendo wa mihogo na ming'oko....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom