Madhara yatokanayo na ulaji chips

Madhara ya Chips yai ni mafuta yanayotumika kutayarishia chipd zenyewe, lile ya kuku wa kizungu labda, kinyume na hapo chips ni viazi kama viaza vingine ambavyo tunavila kwa kupika au kwa utarishaji mwingine. Chips kukosesha nguvu ya tendo la ndoa, ni kweli ila sio tatizo la kudumu ni la siku ile tu uliyoifanya chips kuwa chakula chako, kipimo kile cha chips huwezi kula mtu unaenda kufanya ngumu, tabia chips zinayeyuka mapema sana hazikai tumboni. Usitegemee ukiwa una hali ya njaa, uende kwenye tendo lile hakika hutopaform.
 
Kiepe for life, nmetoka kwa mpemba kujitia kikiepe kuku recently, usipime bobu..mixa ukwaju mixa pilipili..Happy besdei to mie!
ONYO: KULA. KIEPE KISTAARABU, UKIFANYA MASIHARA UTAGONGEWA OHOOO!!!
daaah! Umenikumbusha pale Ilala kwa 'Said Makuku' (sijui bado yupo)
Mazaga zaga kibaooo unakula chipc mpk unatamani kubeba na kabati zima.

#Happy Birthday to You#
 
Zama zinabadilika kila uchao...

Zamani wazee wetu walikuwa wanakula mtama umechanganywa na ulezi, hio ikapita.

Wakaja wakoloni wakaleta muhogo toka Amerika ya Kusini, mtama na ulezi vikapunguza umaarufu, wazee wetu waliwashangaa sana watu wa kizazi chao kwa kukumbatia muhogo na kuacha mtama na ulezi wakasahau kuwa hata wao waliacha kula mizizi na matunda wakakumbatia mtama na ulezi.

Baadaye yakaingia mahindi kutokea huko huko kwa mkoloni, watu wakaacha muhogo wakachangamkia mahindi, wazee wa wakati huo wakawashangaa sana kwa nini kuacha muhogo kukumbatia mahindi "vyakula vya watu weupe visivyo na faida mwilini"??.

Baadaye ukaingia mchele, wazee wanaokula mahindi wanawashangaa sana wanaoukumbatia mchele kwa kuwa ni "chakula cha kuja".

Sasa ulaji wa chipsi unaingia kwa kasi kama vile ambavyo vingine viliingia kwa kasi na watu wakashangaa pia kwa nini watu kukumbatia "mavyakula ya wazungu".

Ni zama tu zinabadilika mkuu, baadaye tutaingia kwenye ngano na mavyakula ya makopo na watu watapuzia chipsi pia.

Madaktari wamejikita kueleza madhara ya chipsi badala ya kutueleza na faida zake pia, haya ni madhaifu makubwa sana katika kuleta judgement ya kitu, huwezi kusikia one sided story peke yake.

Zama mpya zinakuja, za zamani zinapotea, lakini all in al hakuja jipya chini ya jua.

Vijana kuleni kiepe yai, kwa kuwa hizi ni zama zenu.
Mkuu kabla ya hivyo vyakula vyote ulivyo vitaja kuletwa ,Africa ilikua hamna chakula chake cha asili ,hao watu walikua wanakula nini ?
 
Mkuu kabla ya hivyo vyakula vyote ulivyo vitaja kuletwa ,Africa ilikua hamna chakula chake cha asili ,hao watu walikua wanakula nini ?
Waafrika walikuwa wana mizizi na matunda na nyama mbichi mkuu.

Hio ndio asili yao.

Mpaka sasa zipo jamii kama sita hivi ninazozifahamu zilizokataa kuuchukua uzungu na zinaendelea kula matunda na mizizi na nyama mbichi.

Nyingi ya jamii hizi zinapatikana mikoa ya Dodoma, Singida ,Arusha na Mara.
 
Duu asante Mkuu nitalifuatilia hili swala sijawahi kujua kwamba chakula chetu cha asili ilikua mizizi ,matunda na nyama mbichi
 
Kiepe for life, nmetoka kwa mpemba kujitia kikiepe kuku recently, usipime bobu..mixa ukwaju mixa pilipili..Happy besdei to mie!
ONYO: KULA. KIEPE KISTAARABU, UKIFANYA MASIHARA UTAGONGEWA OHOOO!!!
Nadhani atakua huyu mpemba ninaemfahamu
 
Epe yai na jogging unatoa kitu kizito guarantee mapacha...tusidanganyane kula ukulavyo bila kutoa jasho lazima voltage ipungue hata uwe unakula dona na mchicha daily
 
Nilikutana na wapopo (Nigerians) wametoka bongo, walisifia sana hiki chakula.
 
Waafrika walikuwa wana mizizi na matunda na nyama mbichi mkuu.

Hio ndio asili yao.

Mpaka sasa zipo jamii kama sita hivi ninazozifahamu zilizokataa kuuchukua uzungu na zinaendelea kula matunda na mizizi na nyama mbichi.

Nyingi ya jamii hizi zinapatikana mikoa ya Dodoma, Singida ,Arusha na Mara.
Lakini viazi ni mizizi.
 
Chakula ni ugali wa mtama na kichuli muraaa hakuna kingine kwangu chips za kinadada mm mbeba mizigo chips wapi na wapi?!
 
Back
Top Bottom