Yanga kuingiza mashabiki uwanjani Bure ni ushamba, hamjifunzi madhara yake?

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,056
24,449
Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!

Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia!

Nimeshuhudia mashabiki wakiruka ukuta, wengine wakianguka na kuumia, wengine wakippteza vitu Kama fedha, simu, vitatu, nguo kuchanika n. k!

Kinachouma zaidi wapo mashabiki waliotoka mikoani, wengine nje ya nchi wakiwa na tiketi, lakini wakaambiwa uwanja umejaa wakaangalie mechi vibanda umiza!
Imekuwa ni desturi ya yanga kuingiza mashabiki uwanjani bure, na matokeo yake kuna baadhi ya maafa na uharibifu uliotokea, lakini wala hawajifunzi!

Zipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara, hivyo hawaoni shida kwa kuwa hayo mambo yanawafanya wanapata matokeo!

Kwa haya ni vyema mashabiki wakaamka, vya bure vina gharama, ikibidi wenye dhamana wapige marufuku uingizaji wa mashabiki bure uwanjani, kwani madhara yake ni makubwa, na yanaonekana wazi!
 
Ulienda kufwata vya bureee
 
We punga tafuta Hela next time ulipie VVIP,acha kupenda kitonga.
 
KUNA MASHABIKI 2 WAMEKUFA NJE YA UWANJA BAADA YA VURUGU KUBWA KUTOKEA
 
We punga tafuta Hela next time ulipie VVIP,acha kupenda kitonga.
We taahira kweli kweli! Kuna sehemu nimesema nilienda ama nilizoenda huo upuuzi?
Halafu usinichukulie poa wee kende, mimi nina mishe zangu nazifanyia mita 50 kutoka ulipo uwanja wa taifa, hivyo matukio mengi yanayotokea pale nayashuhudia! Halafu hizo mechi za kipumbavu za bure owe Simba, Yanga au timu ya taifa Sina interest nazo kabisa!
Ama umeumia mimi kuandika ukweli? Naona mashabiki wa yanga mmeumia sana hili andiko kuja jf!
Hospital ya Temeke Kuna mashabiki kibao wameumia wamepelekwa pale, hebu kesho asubuhi muwapelekee chai basi!
 
Hahahahahaaaa sena ukwelii awakucheki
Ukweli gani?
Kwamba nilienda kucheki mechi au?? Kama ni hicho ulitaka niseme wala sihitaji kuongopa kusema!
Nimesema Mimi Nina mishe zangu nafanyia maeneo ya hapo karibu na Lupaso, hivyo matukio yanayotokea upande niliopo huwa nayashuhudia mara kwa mara!!
Mfano leo nimeshuhudia yote yaliyotokea geti lililopo upande ambao ninafanyia mishe zangu A-Z!
Usitake nianze kuexpose detail nyingi sana hapa!!
 
kwani Dunia kote yanga pekee ake ndio anaingiza mashabiki Bure?, mbona mechi za Azam zilikuwa ni Bure?, Mamelod mechi zao hufanya Bure/jezi nao n washamba au nikutaka full sapoti ya watu?. Afu sula la hili watu wa Simba mnaumia kuliko hata mlivyofungwa na Aly Ahly . GSM kajitolea pesa zake... Wewe kimekuwasha wapi? Sema tuandae mikuyenge tupakune naona huwezi kulala Sasa toka Jana wewe 😅.
 
Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!

Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia!

Nimeshuhudia mashabiki wakiruka ukuta, wengine wakianguka na kuumia, wengine wakippteza vitu Kama fedha, simu, vitatu, nguo kuchanika n. k!

Kinachouma zaidi wapo mashabiki waliotoka mikoani, wengine nje ya nchi wakiwa na tiketi, lakini wakaambiwa uwanja umejaa wakaangalie mechi vibanda umiza!
Imekuwa ni desturi ya yanga kuingiza mashabiki uwanjani bure, na matokeo yake kuna baadhi ya maafa na uharibifu uliotokea, lakini wala hawajifunzi!

Zipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara, hivyo hawaoni shida kwa kuwa hayo mambo yanawafanya wanapata matokeo!

Kwa haya ni vyema mashabiki wakaamka, vya bure vina gharama, ikibidi wenye dhamana wapige marufuku uingizaji wa mashabiki bure uwanjani, kwani madhara yake ni makubwa, na yanaonekana wazi!
Acha umbea, utavishwa kanga uolewe.
 
Back
Top Bottom