bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
Ni sawa vol ni amount ya alcohol kwa chupa
Mi naomba kujua tofauti ya ALCOHOL na VOL
Mi naomba kujua tofauti ya ALCOHOL na VOL
Manengelo hizo uwa nakunywa nyingi mno, sijui ndiyo nishakuwa sugu.
Naweza gonga nane na bado sija tosheka.
[emoji119][emoji119][emoji119]Umekuwa sugu,ww sio kichwa Cha kanga
Jamani sijajibiwa hii kitu!
Neno lako moja kwa wanaume wanaokunywa savanna
Ukilewa sana usiku? Asubuhi inatakiwa utumie kinywaji gani ili uwe fit
Ukilewa sana usiku? Asubuhi inatakiwa utumie kinywaji gani ili uwe fit
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mapampula
Tofaut ya beer,spirit, whisky, wine na ginKma ulikunywa beer kunywa beer moja na kma spirit kunywa maji na wine kula chakula cha kutosho
Vileo vipo vingi uliza upata jibu sahihi
Tofaut ya beer,spirit, whisky, wine na gin
Unaijuwa pombe inaitwa mndambwanda?
Hapana
Ni vyema wakanywa kwa kuzingatia afya na wapendelee sana kunywa spirit then beer coz beer huwa hazimuture na hubaki kwa kichwa kwa mda mrefu
Savana ni Sider na sio beer km wengi tunavyodhani na aina hii ya pombe hupendwa kunywewa na kinamama/dada
Ole wake ampaye mwenzie kilevi... mleta uzi kumbuka hii