Joblee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 1,470
- 1,598
Sminorff iceJe ni pombe gani naweza tumia na kinywa kisitoe harufu ya pombe?
Yaaan nikinywa niwe km nimekunywa fanta tu
Sminorff iceJe ni pombe gani naweza tumia na kinywa kisitoe harufu ya pombe?
Yaaan nikinywa niwe km nimekunywa fanta tu
Sminorff ice
Mkuu unaipata mixer moja unachanganya konyagi limao na pilipili!!?
Lengo kuu la kunywa ni kulewa au kuenjoy kinywaji? Na kwa nini?
Kama lengo si kulewa kwann kuna kilevi?Lengo kubwa la kunywa ni kulifresh akili na si kulewa
Jaribu mkuu...Hi mix ni hatari but sijahi ona
Kama lengo si kulewa kwann kuna kilevi?
Hakuna mtu ankunywa ili alewe bali alifresh akili na ndo maana no one ambaye anafurahia matokeo mabaya ya ulevi wake Bali hufurahi anapokunywa na akiwa hajafanya mambo ya kilevi.So lengo la kilevi ni kulirefresh akili
Jaribu mkuu...
Vileo vipo vingi uliza upata jibu sahihi
Vileo gani ambavyo ni vizuri kwa ku stimulate mwili?
Nmemuuliza akanijibu mataputapu nikaamua kupotezeaTofaut ya beer,spirit, whisky, wine na gin
Unaharibu mkuu kulifresh ndo nini hicho? Unasababisha hadi ladha ya kinywaji inapoteaHakuna mtu ankunywa ili alewe bali alifresh akili na ndo maana no one ambaye anafurahia matokeo mabaya ya ulevi wake Bali hufurahi anapokunywa na akiwa hajafanya mambo ya kilevi.So lengo la kilevi ni kulirefresh akili
Nmemuuliza akanijibu mataputapu nikaamua kupotezea
Okay bossLabda sijakuelwa lakini si "mataputapu" coz huku kwetu ni pombe ya kienyeji
Vileo vipo vingi uliza upata jibu sahihi
Lengo lako ni kufundisha sio vibaya ukatoa knowledge ya kutosha.Kusema zote zinatengenezwa na nafaka sidhani kama ni jibu sahihi?Ipo tofauti ndio mana kila moja na jina lake.mfano Pure cane(silver/white rum)kama cachasa from brazil(sina hakika na spelling)wakati dark rum inatengenezwa kwa molasesi.Na zote ni spirit.be specific bro.samahani lakiniTiquila inatingenezwa na "blue agave"na Spirit zilizobaki kama whisky na gin zinatengezwa na nafaka