Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,217
- 3,116
Dawa ya hangover ni nini?na ufanye nini ili usiamke na hangover?
1.spirit is an alcoholic beverages obtain from the distlation process of cereal: Distlation means separation btw vepour and water.Lengo lako ni kufundisha sio vibaya ukatoa knowledge ya kutosha.Kusema zote zinatengenezwa na nafaka sidhani kama ni jibu sahihi?Ipo tofauti ndio mana kila moja na jina lake.mfano Pure cane(silver/white rum)kama cachasa from brazil(sina hakika na spelling)wakati dark rum inatengenezwa kwa molasesi.Na zote ni spirit.be specific bro.samahani lakini

Nimejitahidi kusoma zaidi ya mara nne brother lakini sijaelewa.Labda ni kichwa changu kigumu.Anyway niwie radhi sina lengo la kukuaribia uzi wako.1.spirit is an alcoholic beverages obtain from the distlation process of cereal: Distlation means separation btw vepour and water.
Spirit zipo za aina 4.Gin,Rum,Vodka na Whiskey ambazo zote zinatengezwa na juice ya nafaka(any cereals) addition ya yeast na sugar
Whiskey/Whisky zipo za aina 4 nazo ni scotch, Irish, Canadia na American zina represent nchi.
So hizo ambazo ww unasema sugar cane, molesis ni history ambazo sasa hivi there is no big plantations of sugar cane.Ref: history(originated)
The question is:Is there any different btw Gin,rum,vodka and Whiskey
Gin is fine spirit addition with jenniper Berry.
Vodka is fine spirit ambayo asili yake ni viazi mbatata na Rum is the some asili yake ni sugar cane.
Whiskey is fine spirit lakini lazima ikaa kwenye oak at least 3 years.
Kw hiyo ninavyosema nafaka nafaka means in our days no sugar cane juice in rum or molesis.
Naweza kujuzwa bei ya Ulanzi kwa lita moja?Vileo vipo vingi uliza upata jibu sahihi
Naweza kujuzwa bei ya Ulanzi kwa lita moja?
Konyagi glass ndogo mix na pilipili kichaa tano,limao 3 na tangawizi. Hii safi sana.
Hio mix ni balaaaaa
Dawa ya hangover ni nini?na ufanye nini ili usiamke na hangover?
Ni maji km umekunywa mvinyo,beer moja km ulikunywa beer na supu/chakula km ulikunywa spirit
Mkuu kuna baadhi ya watu wanalalamika wakinywa k vant wanapoteza kumbukumbu
Sababu ni nini??
Tru dat. Combo hatari sana hii. Kesho yake unakuwa na bonge la headache.Spirit na red wine
Tru dat. Combo hatari sana hii. Kesho yake unakuwa na bonge la headache.
Hata hivo naona watu wanachanganya sana haya mambo, hawajui percent huandikwa kufuata ujazo.Hapana konyagi ni Spirit ambayo hutengenezwa na distlation process na beer hutengenezwa na brewery alcohol yake si sawa
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji1635]Hii hali ya hewa unaweza sababisha kujirekodi aisee[emoji4][emoji4]...alisikia mwananzengo mmoja akisema[emoji104][emoji104][emoji104]
Mkuu nimeona watu wakichanganya konyagi na energy drinks kama MO energy kidogo ili kukata ukali wa konyagi, vp kuhusu athari zake chief, ni salama? Vp inaharibu alcohol conc ya konyagi? Any eraboration so far?