Uziri wake ipo kama sindano ikiwa inakuingia unaiona... Ukiona unaanza kufuta uso jaribu kuaga na uwahi nyumbani
Dah...leo!hii ngoma ni tamu ila kali balaa..hahaa kuna siku nilipiga 7[emoji3][emoji3][emoji3]...siku ile nilimisbehave kbs
Mnakunywa mnaiogopatu!Uziri wake ipo kama sindano ikiwa inakuingia unaiona... Ukiona unaanza kufuta uso jaribu kuaga na uwahi nyumbani
Je ni pombe gani naweza tumia na kinywa kisitoe harufu ya pombe?
Yaaan nikinywa niwe km nimekunywa fanta tu
Manengelo hizo uwa nakunywa nyingi mno, sijui ndiyo nishakuwa sugu.Smirnof blak ice
Manengelo mi kunywa hizo ni kupoteza pesa tu!!!Smirnof blak ice
Yaan tunafanana tu.Manengelo mi kunywa hizo ni kupoteza pesa tu!!!
Yan mi nagonga zaidi ya kumi na sisikii chochote!!
Wakati mwingine huwa naitumia kwaajili ya kukata K VANT!!
kifupi mkuu haina tofauti na serengeti lite!!!
Yaan tunafanana tu.
Hizo nakunywa km maji tu.
Nikinywa kumi 35000 inakatika
Sa si heri ninywe serengeti lite 20 kwa hiyo bei
Bora kwenu si kwetu ukigonga kumi ni 40000!!Yaan tunafanana tu.
Hizo nakunywa km maji tu.
Nikinywa kumi 35000 inakatika
Sa si heri ninywe serengeti lite 20 kwa hiyo bei
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MapampulaHahhaha siwawz..nyie mapampula balaa
Bora kwenu si kwetu ukigonga kumi ni 40000!!
Sasa hiyo 40000 si ni afadhali nijikubali na balimi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56] pampulaaa mini!![emoji28][emoji28][emoji28] Kweli kwanza balimi ukiona umefika kumi. Kweli wew pampula
Mega...lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56] pampulaaa mini!!
Jamani sijajibiwa hii kitu!Mi naomba kujua tofauti ya ALCOHOL na VOL
Hata Mimi ndo jibu nililokuwa nasubiriJamani sijajibiwa hii kitu!
Je ni pombe gani naweza tumia na kinywa kisitoe harufu ya pombe?
Yaaan nikinywa niwe km nimekunywa fanta tu