Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Golden tiquila ambayo hutengenezwa kwa distillation process"ya blue agave
Kwa afya natakiwa kunywa ngapi? Je ni sahihi kuisubstute na
IMG-20190425-WA0014.jpeg
 
Nahitaji kuelewa kwa kina kuhusu mmea wa salvia divinorum ambao inasemekana una stimu inayofanana na ya bangi huku ukiwa umezidi bangi kwa mbaliii
 
Konyagi ndogo ina 35 Alcohol, wakati Castle lager ina 5 Alcohol. Je, nahitaji kunywa Castle lager 7 (7x5) ili nipate level ya Konyagi ndogo?
 
Dah...leo!hii ngoma ni tamu ila kali balaa..hahaa kuna siku nilipiga 7[emoji3][emoji3][emoji3]...siku ile nilimisbehave kbs
Uziri wake ipo kama sindano ikiwa inakuingia unaiona... Ukiona unaanza kufuta uso jaribu kuaga na uwahi nyumbani
 
Hapana konyagi ni Spirit ambayo hutengenezwa na distlation process na beer hutengenezwa na brewery alcohol yake si sawa
Konyagi ndogo ina 35 Alcohol, wakati Castle lager ina 5 Alcohol. Je, nahitaji kunywa Castle lager 7 (7x5) ili nipate level ya Konyagi ndogo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom