Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Thika kutamu jaman.. nimeomba kama itatikea party wanialike tu..maana walikiri wenyew niliwakilisha Taifa vyemaaa[emoji23][emoji23][emoji23]


Mim


Mimi namba sikupewa[emoji21]kumbe waliopt waitume kwako moja kwa moja...nilijua tunatuma kwa kaka Kubwa kwanza...basi nna deni[emoji134]
PM waliomba namba yangu. Kwa hilo ww utafanya utakavyokupendeza ww..


La msingi, kama Thika umefanya vizuri, itabidi tukuandalie mpango maalum[emoji28]
 
Naomba tofauti Kati ya hizi Pombe Kali naamanisha Tequila Vodka, Rum, whisky, Gin, Spirit, sijui mengi ambayo nayasikiaga...... ukiweza nijuze na utengezaji wake......itakuwa powa sana
 
Vileo vipo vingi uliza upata jibu sahihi
Hii vipi
images%20(2).jpeg
 
Tiquila inatingenezwa na "blue agave"na Spirit zilizobaki kama whisky na gin zinatengezwa na nafaka
Naomba tofauti Kati ya hizi Pombe Kali naamanisha Tequila Vodka, Rum, whisky, Gin, Spirit, sijui mengi ambayo nayasikiaga...... ukiweza nijuze na utengezaji wake......itakuwa powa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom