Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
NasapotiMwenyekiti,, katibu, mweka hazina na uongozi wote na ndugu wajumbe wa kusanyiko hili la walipakodi watiifu na wanaojiamini, napendekeza iwe marufuku kutuma makitu yasio husika humu kama mijuice mitindi au maji kama haiambatani na kileo mezani ili tutofautishe mamba na kenge, naomba kutoa [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app