Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Love; mwanga bar Dodoma pays some bills

Pato la taifa yoo *** shida
IMG_20181224_173337.jpg
 
Wakuu ni muda gani kupita naweza kupiga vyombo baada ya kumaliza dozi ya cipro?
Btw dose nimemaliza jana jioni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Piga vyombo acha uoga mkuu, flagly ndio ina kesi unaserereka tuu, ma dkt watakuambia usinywe lakini ila ukigugo utaona hamna interaction kati yake na pombe
 
Mwenyekiti,, katibu, mweka hazina na uongozi wote na ndugu wajumbe wa kusanyiko hili la walipakodi watiifu na wanaojiamini, napendekeza iwe marufuku kutuma makitu yasio husika humu kama mijuice mitindi au maji kama haiambatani na kileo mezani ili tutofautishe mamba na kenge, naomba kutoa [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom