Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,399
Duuuh si mchezoSi mchzo ....libeneke si la kitoto
Sjui zimenyweka vppp[emoji23]
Ova
View attachment 1005852View attachment 1005854
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio umekunywa mwenyew hizo!?[emoji32]Si mchzo ....libeneke si la kitoto
Sjui zimenyweka vppp[emoji23]
Ova
View attachment 1005852View attachment 1005854
Sent using Jamii Forums mobile app
Hpana ....tulikuwa convoy [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya walevi
Sizani kama utaweza kupumzika ila hata mm nakushauri leo pumzika kidogo asee
Hiyo colabo ilikua noma mm ningekuwepo hapo ningezimaHpana ....tulikuwa convoy [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya walevi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo sigusi kbsaSizani kama utaweza kupumzika ila hata mm nakushauri leo pumzika kidogo asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo sigusi sahvi
Yani me najiulizaga unawezaje kunywa non stop wakati mm siku nikinywa sana kesho nikiamka siwezi gusa pombe tena mpaka ipite hata siku 2 ila ww sjui unawezaje aseeLeo sigusi sahvi
Saa moja asubuhi I nmeingia ndani[emoji23]
Leo sigusi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani me najiulizaga unawezaje kunywa non stop wakati mm siku nikinywa sana kesho nikiamka siwezi gusa pombe tena mpaka ipite hata siku 2 ila ww sjui unawezaje asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah ww ni level nyingine kabisa ila naona hata leo unasema unapumzika hutaweza kupumzika mida tu utakua kwa mangi[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aise hpa yenyewe Nna kiuuuu tena
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Banaa ehh sitabirikiDaaah ww ni level nyingine kabisa ila naona hata leo unasema unapumzika hutaweza kupumzika mida tu utakua kwa mangi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngj nikazee lknDaaah ww ni level nyingine kabisa ila naona hata leo unasema unapumzika hutaweza kupumzika mida tu utakua kwa mangi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app