Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hiyo inaitwa safari moja huanzisha nyingine mpaka saa 11 jioni utanambia kama ni 3 au kreti[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna chalii mmja nlikuwa Naka naye
Kafaulu 4rm four ksoma kwa tabu sana
Masela tulikuwa tunamchngia Ada
Jna kja akanipa laki akasema iisheee anko
Si anajua mm mzee wa tungi
Ila alifurahi sana aise laki ilikatika kama upepo

Ova

Atawakumbuka daima walevi watu wazuri sana embe cheki dogo mmemchangia leo katoboa kielimu ;mkazieni five na six ili atoboe huwezi jua badae anaweza kuja kuwa ni boss kwenye sekta fulani na nyie akawasaidia.

Hyu tunayeee
Chalii tu tangu form two alafu Yatima
Tu mm home kwangu watu wanapaita big brother mzee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Respect chief [emoji1479][emoji1479]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pmja....ngj nisoge kwa mangi 1 haikai 2 haikai

Ova
20190127_095651.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom