mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,229
Dah, embassy. Hivi njia ipi ya kuacha fegi. Mimi nikianza tu kunywa pombe kali basi fegi lazima ihusike. Hata pakti mbili zinaweza isha. Kuna kipindi niliacha kama mwezi, ila nikarudi tena. Nikiwa sinywi hata fegi siiwazi kabisa
Duh mm fegi situmi kabsaDah, embassy. Hivi njia ipi ya kuacha fegi. Mimi nikianza tu kunywa pombe kali basi fegi lazima ihusike. Hata pakti mbili zinaweza isha. Kuna kipindi niliacha kama mwezi, ila nikarudi tena. Nikiwa sinywi hata fegi siiwazi kabisa
Proverb 3:5-6
Duh tuuombe munguuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ini lako vipi mzee? Check up ufanye mkuu.
Gambe la wapi hili, ndio naiona picha hapa, huku kuhamia vibanda vya chocho kunanikosesha mengi eeeh!?
Ukiniona nko physical mzee mazoezi siku moja moja muhimuMkuu ini lako vipi mzee? Check up ufanye mkuu.
Hahahaha ila we jamaa unafurahisha sana.. Nadhani baada ya yule andunje wa liquid mwenye vituko unafata wewe kwa kupenda pombe..
Yule hawezi hapa aaaHahahaha ila we jamaa unafurahisha sana.. Nadhani baada ya yule andunje wa liquid mwenye vituko unafata wewe kwa kupenda pombe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu heshima kwako, hahahaha unapenda maji na maji naona yanakupenda..Yule hawezi hapa aaa
Yule promo tu
Kama kick tungetaka kwnye media tungeonekana na vurugu za tungi daily
Sema sisi wengine heshima kutokana na mitkasi
Ila haya ndy maisha halisi yangu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mm nafanya checkup kwa dokta vanjay Gupta yuko ple mtaa ofisi za takukuruMkuu heshima kwako, hahahaha unapenda maji na maji naona yanakupenda..
Ila check ups za ini pia ni muhimu, ni elfu 30 tu pale AAR kupima pamoja na chanjo yake. Tafadhali sana zingatia hilo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri mkuu, ila kwa mwendo huo wa Konyagi na pombe kali daily chanjo ya ini ni muhimu.Duh mm nafanya checkup kwa dokta vanjay Gupta yuko ple mtaa ofisi za takukuru
Huwa nafanya physical checkup
Ya maana
Kiafya sijui kama Nna nmeathirika ila physical nko vzuri
Nna kg 80,urefu ft 6 "5 mzeeeee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise nashukuru kwa ushauri ntaufanyiaVizuri mkuu, ila kwa mwendo huo wa Konyagi na pombe kali daily chanjo ya ini ni muhimu.
Naongea ninachokifahamu, nimepoteza ndugu wa karibu wawili mwaka jana na mwaka huu kwa hilo tatizo. Na wote walikuwa wazee wa vikali..
Ni ushauri tu boss, kinga ni bora!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingine mm ni kunywa tu kulewa sijawahi kugombana na mtu nkiwa nmelewaVizuri mkuu, ila kwa mwendo huo wa Konyagi na pombe kali daily chanjo ya ini ni muhimu.
Naongea ninachokifahamu, nimepoteza ndugu wa karibu wawili mwaka jana na mwaka huu kwa hilo tatizo. Na wote walikuwa wazee wa vikali..
Ni ushauri tu boss, kinga ni bora!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaongezaaaa nyingine kvant adimuVizuri mkuu, ila kwa mwendo huo wa Konyagi na pombe kali daily chanjo ya ini ni muhimu.
Naongea ninachokifahamu, nimepoteza ndugu wa karibu wawili mwaka jana na mwaka huu kwa hilo tatizo. Na wote walikuwa wazee wa vikali..
Ni ushauri tu boss, kinga ni bora!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha naomba nikubatize jina. We ni chuma!Tunaongezaaaa nyingine kvant adimu
Sana
OvaView attachment 1005374
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina