Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Kila mtu atabeba msalaba wake pambana na hali yako mkuu huu uzi sio wa wapiga porojo huku ni gambe kwa kwenda mbeleHii.mada imekaaa hapa muda mrefu sana JF NI WAPUMBAVU SANA WANAFUTA MADA ZA MUHIMU WANARUHUSU MADA ZA KILEVI .WAMILIKI WAMTANDAO HUU KINA MAXEZ MTAKUWA N WALEVI WAKUTUPWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu atabeba msalaba wake pambana na hali yako mkuu huu uzi sio wa wapiga porojo huku ni gambe kwa kwenda mbele
Atuache anafikiri hatumjui Mungu [emoji23][emoji23] leo nilisema sikamati nashangaa inashuka kama maji yanavyoporomoka kwenye mteremko[emoji41][emoji41]Tafuta dough jombaa na wewe unywe zako. Usipangie watu maisha yao hamna anaekupiga ukware ili akanywe.
Fata mambo yako.
Oohhh nimeona dear tupo mbali la sivyo ningekujoin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilisema mamy club 361[emoji4]near makongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Chizi wee
Sent using Jamii Forums mobile app
Atuache anafikiri hatumjui Mungu [emoji23][emoji23] leo nilisema sikamati nashangaa inashuka kama maji yanavyoporomoka kwenye mteremko[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
😊😊😊Oohhh nimeona dear tupo mbali la sivyo ningekujoin[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa sijui inakuwaje khaaa[emoji23][emoji23][emoji23]like waterfalls[emoji23]
Endelea kuzipiga kwani zimekwishaHivi vi serengeti lite bure kabisa,nimepiga sasa hv nina ya 6 but sisikii chochote
Sijui nani kawaambia huku watu wanataka mahubiri hakuna mtoto huku kila mtu anajua analofanya mtu anakunywa kwa pesa zake[emoji23][emoji23][emoji23]alinichefua jina bayaaa...
Hahahaa labda hela imeisha
Sijui nani kawaambia huku watu wanataka mahubiri hakuna mtoto huku kila mtu anajua analofanya mtu anakunywa kwa pesa zake
Ebu shangaa mkuuHahaha nlitaka nimjibu lake moja nikaona niache tu, kila mtu anapambana na yake unaanzaje kuhangaika na nafsi ya mtu wakati hata akifa atazikwa peke yake na majibu atajijibia mwenyewe [emoji2370]
Atuache anafikiri hatumjui Mungu [emoji23][emoji23] leo nilisema sikamati nashangaa inashuka kama maji yanavyoporomoka kwenye mteremko[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app