Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wapi wewe. Leo ukipita pale mitaa yetu tunaweza onana Mkuu

Mkuu nimetulia hapa nnakata kiu karibu sana
0c2ba1fd47bf9f8d8d60a1712191e44a.jpg
 
ungefanya kusogea niliona text yako nikajua utakua moto kwelikweli...
We ntakutafuta sjui lini tuyatwike
Mpk kuchwili!
Triple 7 itakuwa vzr maana kna mzungu mmja hpo azura nataka siku moja nkamseti
Nivute mpunga nkitoka hpo ntasogea triple 7 fasta.....ngoja kuanzia kesho nitengeneze Mazingira mzee baba

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom