Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Dah msalimie mwambie soon ntamtimbiaaa maguu mm bado napambana na safari lager hapaNiko na mkuu theriogenology![]()
HahahaaaMama ndani mpiga kelele sana kuhusu pombe,kuzuga mzee natafuna chupa nzima usiku kisha najaza maji akiamka akipima uzito mulemule anaona aah jamaa leo kaonja tu.
Bana we,kaja shemeji siku hiyo akapewa vyombo,chupa ileee[emoji121]️nilijaza maji.
Shem kupiga funda mmh,kaskiliziia kugonga funda lingine mmmh ikabidi amwambie dadaake embu onja hii wine.
Dah maji,mama kaja spidi kunikurupua why umejaza Maji kwenye chupa ya wine nikaruka kimanga,nilikua nasafisha chupa nikajaza maji(sababu)
Dah msalimie mwambie soon ntamtimbiaaa maguu mm bado napambana na safari lager hapa
Ova
View attachment 994347
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko na mkuu theriogenology![]()
Nahisi vumbi litatimkaaa maana hapa nshapiga safari za kutoshaa na bado naendelea mkuuMkuu karibu sana
Nahisi vumbi litatimkaaa maana hapa nshapiga safari za kutoshaa na bado naendelea mkuu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni sana
Jr[emoji769]
Poa poa .....ila mm naongea sana Nna story sana so univumilieee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mm ni mnywaji mzuri tu ila kwako nimekuvulia kofia...
Ila usijali naona kiwanjani kwangu k vant, konyagi zipo za kutosha ni wewe tu mkuu..
Poa poa .....ila mm naongea sana Nna story sana so univumilieee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 994437
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wanapenda stori za ubaharia wasafiri zamani basi fiksi fiksi nyingi unawapa vyombo vinashukaHahaha story muhimu mkuu
Texas Bar & night club- Goba CentrePoa poa .....ila mm naongea sana Nna story sana so univumilieee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 994437
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha rafiki yangu marehemu Patrick aka Party. Yeye na wenzake walikuwa wana stori tamu sana...Keko moja hiyo, basi maisha yalikuwa matamu sana, wakati huo wakiniita dogo!Vijana wanapenda stori za ubaharia wasafiri zamani basi fiksi fiksi nyingi unawapa vyombo vinashuka
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kilingeni madogo wanapenda toli basi wnafurahiiii ......Umenikumbusha rafiki yangu marehemu Patrick aka Party. Yeye na wenzake walikuwa wana stori tamu sana...Keko moja hiyo, basi maisha yalikuwa matamu sana, wakati huo wakiniita dogo!
Enzi hakuna aliyekuwa anaweza kunikaba usiku, unaanzaje kwanza. Braza mwenyewe mtata. February nitakuwa Keko, will bring those memories
Sent using Jamii Forums mobile app
1 for the road hyooo sasa nkipiga hyo naondoka na backup ya nyagi ndg ntaenda piga dry ndani.....Umenikumbusha rafiki yangu marehemu Patrick aka Party. Yeye na wenzake walikuwa wana stori tamu sana...Keko moja hiyo, basi maisha yalikuwa matamu sana, wakati huo wakiniita dogo!
Enzi hakuna aliyekuwa anaweza kunikaba usiku, unaanzaje kwanza. Braza mwenyewe mtata. February nitakuwa Keko, will bring those memories
Sent using Jamii Forums mobile app