Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Safi sana.
Kama naikata vile kumbe niko naye ulinzi wa kutosha kwenye bia

Ova
20190113_210212.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakitimoto cha kuchoma dunianiiiiiii
Hapa sasa ni mwendo wa safari zinashuka
Tu Alafu sehemu nzuri sana kwenda na familia

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro afu nusu kilo yao japo kitaani unalipia kilo lakini ukila unashiba, nikiwa hapo nnagiza wanazoita soseji na choma nusu nusu, kama kawaida jeshi langu la mtu mbili namuachia mlaji anakula mpaka anafunga kabisa...sa ivi sipendi kwenda sababu ya distance kutoka huku nilipo mpaka huko ni safari
 
Wanakitimoto cha kuchoma dunianiiiiiii
Hapa sasa ni mwendo wa safari zinashuka
Tu Alafu sehemu nzuri sana kwenda na familia

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Kitimoto choma kingine amazing ni kwa madevu pale pembeni ya ofisi za ACT Wazalendo, Sayansi kijitonyama nnawaangaliaga sana wale wazee wa kigoma afu nnasema hiiiihiii
 
Bro afu nusu kilo yao japo kitaani unalipia kilo lakini ukila unashiba, nikiwa hapo nnagiza wanazoita soseji na choma nusu nusu, kama kawaida jeshi langu la mtu mbili namuachia mlaji anakula mpaka anafunga kabisa...sa ivi sipendi kwenda sababu ya distance kutoka huku nilipo mpaka huko ni safari
Wako vzr mm hpa bia sahv znatereza tu nishapiga safari ndg 7 kule Rudy's nlipiga bia 1 tu ....
Pale Rudy's farm wako poa kukosolewa kimya.....ukitaka mikelele unakaa bar ukitaka utulivu unajikalia kule pembezoni
Panamfaa black Womani

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitimoto choma kingine amazing ni kwa madevu pale pembeni ya ofisi za ACT Wazalendo, Sayansi kijitonyama nnawaangaliaga sana wale wazee wa kigoma afu nnasema hiiiihiii
Wako poa ila pale Nna Kimeo walinizinguaga nkatambaaga na bill mpk leo ......nlijilipa [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom