Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
[emoji23][emoji23]Mungu kawajalia roho ya huruma kweliWamejaaliwa huruma zao. Unaweza mtuma kwa Mangi akuletee za kung'olea lock![emoji16][emoji3][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nilikua moto haswa..[emoji16][emoji16]ungefanya kusogea niliona text yako nikajua utakua moto kwelikweli...
Mkuu nimefurahi sana kukutana na wewe..
Na tukabadilishana mambo mawili matatu huku windhoek na Heinekein zikishuka taratibu...
Mimi nimeamkia na bombadier hii!huu mfupa kna mtu aliushindwa jna kuumaliza asubuhi kanipa na ksema ilimfanya kitu kibaya[emoji23] nataka kuikata kama upepo leo kna mchongo mmja naenda kupiga kwa walokole fulani kanisani kwao!
Hiyo ndy Inatakiwa tukikutana tunapeana mipango pia na kubadilishana mawazoMkuu nilifurahi sana pia, pamoja sana
Hiyo ndy Inatakiwa tukikutana tunapeana mipango pia na kubadilishana mawazo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi....mm nipo nawapiga sound wapentekost fulani wananitumikisha .....ngj nitafte hela ya biaa [emoji23] [emoji23]Kabisa mkuu, jana tuliongea mengi sana na mzee baba mwanzo mzuri kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeamkia na bombadier hii!huu mfupa kna mtu aliushindwa jna kuumaliza asubuhi kanipa na ksema ilimfanya kitu kibaya[emoji23] nataka kuikata kama upepo leo kna mchongo mmja naenda kupiga kwa walokole fulani kanisani kwao!
Ngoja niwavutie stim kbsa ili nikifika huko tuelewane vzuri
Ova
View attachment 994758
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Bila sound nyingi huwali hela zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Walokole Hawa wangejua kuna nn humu wangetufurumusha [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanadhani ni maji ya upakoWalokole Hawa wangejua kuna nn humu wangetufurumusha [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Back up mzee
Ova
View attachment 995013
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kna mwenzangu hpa hatuliii![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanadhani ni maji ya upako
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]nyagi juani ina tabia ya kufanya featuring....!!!Sema kna mwenzangu hpa hatuliii!
Anaweza kushtukiwa anasema anahisi mitungi ya jna inamrudia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Konyagi na jua hili ni shidaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app