Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mama ndani mpiga kelele sana kuhusu pombe,kuzuga mzee natafuna chupa nzima usiku kisha najaza maji akiamka akipima uzito mulemule anaona aah jamaa leo kaonja tu.
Bana we,kaja shemeji siku hiyo akapewa vyombo,chupa ileee[emoji121]️nilijaza maji.
Shem kupiga funda mmh,kaskiliziia kugonga funda lingine mmmh ikabidi amwambie dadaake embu onja hii wine.
Dah maji,mama kaja spidi kunikurupua why umejaza Maji kwenye chupa ya wine nikaruka kimanga,nilikua nasafisha chupa nikajaza maji(sababu)

Ha ha aisee hiyo noma sanaa, miaka hiyo nipo home nimejaza sana maji kwenye pombe kali za mzee kila siku anashangaa mbona ubora unapungua alivyonishtukia akawa ananipa nikamwage kumbe ananichora tuu siku moja akanilipisha 38,000/= nikanunue kwa ajili ya wageni
 
Hahahahaahahahahahaaaaa
 
7719ce3506e42c4453e4fa6f6811d76d.jpg

Leo naonja kitu cha four cousins..

Mchana unaenda vizuri kabisa leo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom